hakuna wa kulaumiwa kwa sababu Bayern ni timu kubwa inacheza soka maridadi, mbinu zao zimelipa, walijituma tangu mwanzo, kwanza Man U wana faida bado , wala hilo si tatizo kwao, tatizo kwao ni maumivu ya Rooney.

Mechi ilikuwa ngumu sana kwao bahati yao wamshukuru Van De Sar vinginevyo ingekuwa kama Basketball. Kuhusu zile subs Fagie hapaswi kulaumiwa manake alitaka zaidi mashambulizi ndo maana akawaweka hao jamaa. Piga ua wangefungwa tu.
Man U inamlipa Rooney zaidi ya auni 100,000 kwa wiki, ili aweze kufunga magoli, sasa kama unalipa pesa nyingi hivyo bila mtu kucheza hiyo si hasara....by the way ni mchezaji halali wa timu hiyo.
Mechi ilikuwa ngumu sana kwao bahati yao wamshukuru Van De Sar vinginevyo ingekuwa kama Basketball. Kuhusu zile subs Fagie hapaswi kulaumiwa manake alitaka zaidi mashambulizi ndo maana akawaweka hao jamaa. Piga ua wangefungwa tu.
hahaaaa hakuna sikunimesikia utamu kuangaliua mpira kama jana...Bayern Munchen walikuwa very calm ,composed and determined...goli la manu lilikuwa la bahati na hakika second leg hawachomoki watang'olewa tu.....hahaaaaa
piga ua galagaza LAZIMA wangefungwa tu,na ndio dua yangu jana wafungwe vibaya awa masheuzi MAN U,,,kazi kubebwa tu
Iam sooooo happy today n pasaka itakua safi sana kwangu
ziiiiiiiiii