Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumerudi njia kuu....kwa kushinda mfululizo team imeshajijenga kisaikolojia.
Bravo MAN UTD
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Kuna watu wanaijua vizuri UTD sijui walikuwa wapi ila karibuni tena (welcome back) na muda si muda mods watarudisha wenyewe ile title 'HATUSHIKIKI'
Jukwaa limependeza sasa......
UTD oyooooo
Ila hata hao wanaokuja kuleta vijembe #WakaangaSumu wanaelewa kuwa hakuna timu iliyofanya tunachokifanya kwa sasa.....
"And we will get even better"
#GGMU
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Yule aliyekuwa anaitafuta unbeaten record sasa hivi tunamkaribia yeye kuliko gape iliyopo kati yetu vs Liver.

"LooserFools fans watamoyes sana this season"
 
Attachments

  • 1418614075080.jpg
    1418614075080.jpg
    27.3 KB · Views: 182
  • 1418614396746.jpg
    1418614396746.jpg
    38.1 KB · Views: 170
Kama hujui jambo uliza ufahamishwe, ... kwanza ujue ndani ya FA kuna uingereza sana (ubaguzi) ndio maana Rio ferdinand amesema ye akimaliza career yake basi anataka aingie kwenye administration.
Unaposema Man utd inabebwa huo ni ushabiki wa vijiweni. ...katika vilabu ambavyo vimekutana na adhabu zisizostahili kutoka FA basi man utd kakutana nazo nyingi sana...mpk Rio alishawahi kusema kuwa fine wanazopigwa man utd players wakifanya kosa ni kubwa tofauti na mchezaji wa timu nyingine akifanya kosa kama hilo.
Pia fahamu kuwa man utd haipendwi sana hapa uingereza kama inavyopendwa nje ya UK na hasa bara la ASIA, tofauti na vilabu kama Madrid na Barcelona ambavyo vinapendwa sana huko kwao, na hii ni kwa sababu ya FA walianzisha campaign ya 'support ur local team'..na ujue tu mji wa Manchester una team tatu kubwa unazozijua wewe ambazo ni man utd, man city na Wigan lkn timu ya wakazi wa pale wanayoishabikia miaka yote na yenye wapenzi wengi Ktk mji ule (local team) ni man city, hivyo usifikiri man city ni team ya juzi.
Arsenal mchawi wenu ni meneja wenu na sera zake ambazo mpk yule shareholder wa kirusi kazichoka. ...mara ngapi wenger anapewa pesa lkn hataki kununua wachezaji wenye majina kwa kuogopa gharama?....

Story yako inatufundisha nn....boya we
 
Yule aliyekuwa anaitafuta unbeaten record sasa hivi tunamkaribia yeye kuliko gape iliyopo kati yetu vs Liver.

"LooserFools fans watamoyes sana this season"

Ifikirie kwanza kuikaribia Man City ndo uje uifikirie Chelsea! Vinginevyo Utakua umelewa na Ushindi Wa mfululizo!
 
Watu wenye midomo mirefu watulie pole pole watamuelewa LVG na Manchester United yake...na nasema tena Mourinho anaiogopa MU kuliko MC, SOTON, NEWCASTLE n.k ambao walikua juu yetu ila watu walibisha sana kwa kutojitambua kwao. Mourinho anajua MU ikikaa pale juu kuiangusha ni issue nyingine....basi kuweni wapole watu wanakuja kimya kimya nyie pigeni vijembeee weee lakini jamaa anazidi kunyata
 
Cc. Ntuzu
 
Last edited by a moderator:
Ifikirie kwanza kuikaribia Man City ndo uje uifikirie Chelsea! Vinginevyo Utakua umelewa na Ushindi Wa mfululizo!

Kama wewe malengo yako katika ligi ni kuikaribia timu fulani itakuwa kuna ka ugonjwa kapo kichwani.

Kwa umbali upi huo waliopo Chelsea hadi mtu afikirie kuwakaribia tuu na sio kuwapita??
Kwa sasa labda ungesema tufikirie kuwapita City sio kuwakaribia maana kama ni kufikiria kuwakaribia City ulitaka tuwakaribie vipi??
Tupo 3rd wao wapo 2nd.✌
 
Kama hujui jambo uliza ufahamishwe, ... kwanza ujue ndani ya FA kuna uingereza sana (ubaguzi) ndio maana Rio ferdinand amesema ye akimaliza career yake basi anataka aingie kwenye administration.
Unaposema Man utd inabebwa huo ni ushabiki wa vijiweni. ...katika vilabu ambavyo vimekutana na adhabu zisizostahili kutoka FA basi man utd kakutana nazo nyingi sana...mpk Rio alishawahi kusema kuwa fine wanazopigwa man utd players wakifanya kosa ni kubwa tofauti na mchezaji wa timu nyingine akifanya kosa kama hilo.
Pia fahamu kuwa man utd haipendwi sana hapa uingereza kama inavyopendwa nje ya UK na hasa bara la ASIA, tofauti na vilabu kama Madrid na Barcelona ambavyo vinapendwa sana huko kwao, na hii ni kwa sababu ya FA walianzisha campaign ya 'support ur local team'..na ujue tu mji wa Manchester una team tatu kubwa unazozijua wewe ambazo ni man utd, man city na Wigan lkn timu ya wakazi wa pale wanayoishabikia miaka yote na yenye wapenzi wengi Ktk mji ule (local team) ni man city, hivyo usifikiri man city ni team ya juzi.
Arsenal mchawi wenu ni meneja wenu na sera zake ambazo mpk yule shareholder wa kirusi kazichoka. ...mara ngapi wenger anapewa pesa lkn hataki kununua wachezaji wenye majina kwa kuogopa gharama?....

well said bro
 
Top 5 GK in the premier league :
De Gea's right hand
De Gea's left hand
De Gea's right foot
De Gea's left foot
De Gea's hair
 
Ifikirie kwanza kuikaribia Man City ndo uje uifikirie Chelsea! Vinginevyo Utakua umelewa na Ushindi Wa mfululizo!

Kumbeni hata nyinyi kuna wakati gap lilikuwa kubwa sana ilifikia mahali lingeweza kufika 20 lakini leo tunazungumzia 8 tu ya gap la mechi 2 na draw moja
 
Watu wenye midomo mirefu watulie pole pole watamuelewa LVG na Manchester United yake...na nasema tena Mourinho anaiogopa MU kuliko MC, SOTON, NEWCASTLE n.k ambao walikua juu yetu ila watu walibisha sana kwa kutojitambua kwao. Mourinho anajua MU ikikaa pale juu kuiangusha ni issue nyingine....basi kuweni wapole watu wanakuja kimya kimya nyie pigeni vijembeee weee lakini jamaa anazidi kunyata

LVG the right successor of SAF,
Today I was just watching the highlights of the game, ndipo nilipogundua kuwa LVG hakuanza na yeyote kati ya wale six signings. No Di Maria. Rojo, Shaw, Blind and even Hererra and Falcao came as a substitute when score was already 3-0.
Wachezaji wote walikuwa ni walewale ambao Moyes alikuwa nao in his time and you saw the difference.
The only difference was LVG.
We are Back and we'll get even strong.
 
Wee waache wataelewa tu mwisho wa siku. Uyu LVG anajaribu kutengeneza kikosi kipana zaidi ila watu hawalioni hilo na watakuja kushangaa tu baadae sana watu wanayoyoma tu
 
Umerudi baada ya kushinda jana? Khe khe kheee

Mkuu timu yangu hata ikipoteza game huwa nipo ndio sports hiyo kuna siku unapoteza mechi, hivyo ndivyo unakuwa bora zaidi maana unafahamu wapi unagwaya, weye endelea kushinda kila mechi matokeo yake ndio hayo MK dons kaboooooooom! Out of CL etc. Khe khe khe khe khe khe he khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Dah siku mzee wenger akiondoka Arsenal nitalia sana maana mzee amekuwa akitukirimu vizuri sana kila msimu point 6 akitubania sana 4 tena kiulaiiniiiiii kabisa bila kujali tumepanga Timu B au Timu A mzee wawatu hana hiana anatoa tu point.
 
Back
Top Bottom