Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

_79718940_rooneygoalepa.jpg
_79721226_matagoalepa.jpg
_79720461_rooneycelebrationap.jpg
 
Mkao wa mduara siyo? Haya banaaa 🙂🙂 Unapiga sip ngapi kabla ya kumpokeza mwenzio? nisije nikamaliza bureeee kabla sijakupokeza lol!!!!

Hahaha!! Hiyo umepata ila niliyo nayo ni ile ya kichaga inaitwa mbege na ili inoge itabidi tukae duara tupokezane😛😛::beer::beer:
 
Tukiweza kufikisha point 40 ndani ya mzunguko wa kwanza tutakuwa kwenye position ya kugombania ubingwa kwa sababu mara nyingi bingwa anakuwa na point 85 hv point ambazo tunaweza kuzifikia
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Kama wachezaji watakuwa fit hasa mabeki msimu huu tunaweza kugombania ubingwa.Herera,Blind,Fellaini na Carrick wanatosha.Kama Di Maria angekuwepo leo Loserfool tungewafunga hata goli sita

Msijidanganye kuwa mna timu ya kugombea ubingwa, hizi ni nguvu za soda tu
 
Pole mkuu Pazi, hawa jamaa wanaokolewa na kipa ama sivyo wangekuwa chini ya walipo
 
Msijidanganye kuwa mna timu ya kugombea ubingwa, hizi ni nguvu za soda tu

Welcome back,
Tatizo letu kubwa ni beki na kila wiki beki anaumia sidhani kama tumeweza kuchezesha same back four kwenye game 3 mfululizo.I hope kama tusingepata majeruhi mabeki wangeelewana
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Mkao wa mduara siyo? Haya banaaa 🙂🙂 Unapiga sip ngapi kabla ya kumpokeza mwenzio? nisije nikamaliza bureeee kabla sijakupokeza lol!!!!

Ahahahaha!!! Mara moja tu ukinogewa mara mbili tu
 
  • Thanks
Reactions: BAK
DAH naona vichwa vyenu vimekuwa kama vya Scania baada ya kutuotea. Ipo siku mtakimbiana hapa

Haya naona mmeamua kumloga Ozil,nakumbuka ulisema msimu huu atatisha,now kajiunga clinic na kina Diaby ,Ramsey na Wilshere
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom