everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,032
Aston Villa wanaongoza kwa goli moja
Thank you,linarudi hilo,dakika ya ngapi?
Aston Villa wanaongoza kwa goli moja
poleni sana na matatizo mliyapata. Aston villa anaongoza 1 bila dk 43
Aston Villa wanaongoza kwa goli moja
Hivi Herrera ni majeruhi?
Asante wangu,Duh!! Linarudi hilo mbona,inaelekea mnatutamani tushindwe eeh! Vijembe vingi ndo maana.
Mmeshanunua zawadi za X-mass au ndio basi tu kabumbu mtindo moja. Vipi hapa wenyeji mpo! Nachikia na nyinyi mnataka kuanza kutangaza ubingwa December ... .... ... .khe khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Asante wangu,Duh!! Linarudi hilo mbona,inaelekea mnatutamani tushindwe eeh! Vijembe vingi ndo maana.
Asante wangu,Duh!! Linarudi hilo mbona,inaelekea mnatutamani tushindwe eeh! Vijembe vingi ndo maana.
James Wilson replaces Antonio Valencia.
Sub za leo?????
Limesharudi unaweza kurudi sasa, najua jana ulikuwa na wasiwasi sana kuhusu mechi hii. hongereni 1-1