Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,686
Hebu MTU aelezee mchango wa Valencia ndani ya hizi DK 45
Hebu MTU aelezee mchango wa Valencia ndani ya hizi DK 45
mata gem haimfai kabisa
Zero, sifuri. Khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Inabidi 'hairdryer' treatment itumike ili kipindi cha pili, tumalize game...points 3 leo ni muhimu kuliko wakati wowote msimu huu....
#GGMU
Let's do it #ManUnited
Itamfaa tu Mata moto wa kuotea mbali si alikuwa Chelsick huyu?
Tuko dhaifu sana
Rooney bure kabisa
Leo shida tupu!!