truegooner
JF-Expert Member
- Apr 23, 2014
- 779
- 339
Mbona kimya humu ndani? Mnaangalia upepo ukoje au. Msiba wa jirani huu, ngoja tujongee!
Nyie vipi mnacheza J3 CL vipi? Ebo! khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
Soton 0-1 man utd DK 15
Rvp katengenezwa na PSV sio arsenalDuh! RVP aliyetengenezwa na Arsenal keshafanya mambo!
Duh! RVP aliyetengenezwa na Arsenal keshafanya mambo!
Rvp katengenezwa na PSV sio arsenal
RVP the goal Machine katengenezwa na Arsenal.
Tunabishana au tunaelezana facts???
Hivi young kapewa fadhila kwa kucheza vizuri beki au?
Game bado halijatulia