Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

RVP anawajulia kweli hawa vilaza, sijui kama atakosa hat-trick hapa.
Ova
 
Man of the match Young Diver .. ... .. ... khe khe khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wine Romney kwa ulalamishi bana hajambo ... ... ... halafu wanafunga goli la ngekewa ... . then baada ya mechi watakuja vifua mbele ati timu yao ni bora . .. . ...

Mbona hiyo kengewa haiendi kwa yule Pinnochio wa Arsenal anayechana nywele zake kwa feni hadi fans wanamzoea kama mtoto?
Ova
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Van Persie leo yupo safi sana anakaba na kumiliki mpira vizuri. Kitendo cha kupooza mpira kinatusaidia sana hawa jamaa ukitaka kucheza mpira wa kasi ni wabaya. Tatizo kubwa na makosa ya kuwapa mpira kwenye maeneo ya hatari
 
LVG amemrudishia RVP confidence kwa kumpanga kila game
 
1510537_10152614299142746_2723861538336571080_n.jpg
 
Back
Top Bottom