Duh!! One mistake one goal.....lakini game tumeicheza vizuri bahati haikuwa yetu,penalty za wazi nazo tumenyimwa....anyway ndo mpira huo,bado nina imani tukitulia tunaweza fanya makubwa.
Asante mtani,yaani acha tu....lakini ndo mpira huo,kitu kikibomoka kukijenga tena ni safari ndefu.Pole sana mtani. Mwaka huu wafalme wa soka tunaumbuka. Ngoja tuangalie madogo wanafanya nini.
[QUOTE,=Nzi;11033143]Fellaini kwa kweli amewaziba midomo wale waliokuwa wanambeza...
.....wewe ukiwa mmoja wapo :coffee:
Hata hivyo poleni....