Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Duh!! One mistake one goal.....lakini game tumeicheza vizuri bahati haikuwa yetu,penalty za wazi nazo tumenyimwa....anyway ndo mpira huo,bado nina imani tukitulia tunaweza fanya makubwa.

Mmezoea mbeleko..penati za nini? Fukuzeni kocha nyie
 
1414939693410_lc_galleryImage_Manchester_City_v_Manches.JPG

Tinaona kuna Rojo moja kabebwa hapa
khe khe he khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

usitukane mamba kabla hujavuka mto!
 
Mmezoea mbeleko..penati za nini? Fukuzeni kocha nyie

Mbeleko vipi? We mwenyewe unaona timu now atleast inacheza vizuri hakuna cha kubebwa wala nini,wakati mwingine maamuzi yanapokuwa si mazuri yanaaffect ushindi kwa kiasi kikubwa,hata akija kocha mpya hawezi jenga timu kwa siku moja atahitaji muda na pengine akafanya vibaya zaidi ya huyu.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
nikimbie nini?? tumepoteza mechi lakini at least timu imeonyesha fighting spirit....wewe ulienda ETIHAD ukatoa draw tena man city walisawazisha wakiwa 10 nyinyi 11.....

Nilijua Utakuja Baada ya game kuisha.....!
 
fellainispat.jpg

Manure njooni mtetee
utukutu wa marowani .. . ..
 
Nilijua Utakuja Baada ya game kuisha.....!

mimi nacomment baada ya game kuisha.....sio kama wewe game haijachezwa ushapanga hadi matokeo na yakija usivyotaka unaanza kulialia mara tumenyimwa penati mara sijui nini...mpira dakika 90 zikiisha mimi ndio nakuja kuongea.
 
nikimbie nini?? tumepoteza mechi lakini at least timu imeonyesha fighting spirit....wewe ulienda ETIHAD ukatoa draw tena man city walisawazisha wakiwa 10 nyinyi 11.....

Who is better?
 
Kwa kweli siwezi kuilaumu timu ilipigana hadi dakika ya mwisho usingeweza kuamini Man walikuwa pungufu mchezaji mmoja.Tena back yote ya kati iliyoanza mechi haikuwepo ukweli ni kwamba Man ilipigana kiume hadi dakika za mwisho.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
ila ukweli ukoje?

ukweli ni huu. LVG alimuhitaji Evra abaki angalau kwa msimu mmoja ili kumpa mwongozo Luke Shaw hivyo aliruhusu mkataba wa mwaka mmoja but Evra aliona hajathaminiwa sababu alihitaji angalau mkataba wa miaka miwili na hicho amekipata alikokwenda. Na si kweli kwamba LVG alimuuza kwa kupenda.
 
Ridicolous......ATR/T
 
serious tunaanza kupata pace yetu, timu inaimarika kila kukicha.

In Van Gal We can hope
GGMU
 
Back
Top Bottom