Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Naona unajichekesha…vipi bethdei ya aseno chenga inaendaje leo?

teh teh teh naona unaranda randa kama ilivyo kawaida ya mdudu, Unawish usiku huu ungekuwa unatoa update katika jukwaa hili!?
 

carrick,jones....rooney banned for three games but still thats not an excuse....umechapwa na west ham 3-1, umechapwa na aston villa 1-0 home!!! Umedraw na everton home au hizo ndio fixture ngumu unasubiri tucheze utujaji???

Hao west ham waliokufunga tumewafunga,hao everton waliokubana makende home tumewafunga!! Sasa hizo games nyepesi mbona wewe zimekushindana sisi tumeshinda?
 
Sunday is a huge opportunity for UTD to kick start a tricky season.

Without hampered by the champions league in midweek which league leaders, Chelsea, are. Chelsea should be tired and apprehensive without Diego Costa and Remmy.

The aging Didier Drogba is toothless and their skipper is too mistakes prone to reassure anyone.
 



Costa atakuwepo mkuu J2 Huu Ndio ukweli...!

Na pia safu ya ulinzi ya Chelsea inayoongozwa na Terry Ndio haijafungwa magoli mengi mpk sasaivi...! Hayo makosa yanafanywa na beki Za Man Utd kina Urojo.....!

Uchezaji wa Drogba kwa Wakati Huu ni mzuri sn....km ni mtaalamu soccer kwa kutoa kauli km hiyo dhidi ya Drogba Inakua sio sahihi na hasa ukiangalia game ya J4 Drogba alicheza Vzr....!



Nakupiga hapo kwako mkuu....!
 
Mkuu nakubali mwaka huu unatim ya ushindani, lakini sio yakuifunga United. Kesho goli moja tu linatosha kunipa heshima.
 
Ukweli ni kwamba MAN itatakiwa kuweka viungo wengi na kuchezesha mshambuliaji mmoja.
 
Na pia safu ya ulinzi ya Chelsea inayoongozwa na Terry Ndio haijafungwa magoli mengi mpk sasaivi...! Hayo makosa yanafanywa na beki Za Man Utd kina Urojo.....!

Una uhakika chifu? beki ya Southampton ndiyo haijafungwa magoli mengi, hadi sasa imefungwa magoli 5 tu, wakati Chel$ki$ imefungwa 8, manne pungufu ya United!

Uchezaji wa Drogba kwa Wakati Huu ni mzuri sn....km ni mtaalamu soccer kwa kutoa kauli km hiyo dhidi ya Drogba Inakua sio sahihi na hasa ukiangalia game ya J4 Drogba alicheza Vzr....!

Doh! Sasa hiki ni kioja! Alivyocheza vizuri na kile kibonde ndiyo unamsifia? Drogba anaziba nafasi tu za madogo ushine hapo Chel$ki$..mapenzi ya Maureen juu yake ndiyo sababu ya yeye kurudi hapo, hana lolote..hata alipokuwa fiti alikuwa akiionea goons tu siyo United…katika kipindi chote ameifunga United goli 3 (nakumbuka 1 katika FA cup final, lingine la offside pale OT, la tatu sikumbuki) tu katika games karibu 20!! Sasa huyo naye wa kuogopwa?! Acha masihara chifu….

Nakupiga hapo kwako mkuu....!

Let's bet chifu…acha maneno matupu..
 


Mkuu siku imefika mkuu...,!

Soon goma litakua uwanjani....! Nakupiga mkuu hapo kwako......!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…