Manchester United (Red Devils) | Special Thread



Eddy Murphy and That cher wanarudi kwenye uongozi!
Bila kuwasahau wazee wa kazi hapo juu
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Shukrani Mkuu ushindi wa jana ulikuwa mnono sana. Khe Khe Khe Khe dua la Bulldog kamwe halimpati binadamu utaona tunaendelea kutesa tu na nyie #wasagasumu na #mburukenge kuendelea kununa.

Hivi arsenal na misimu yake 10 bila kombe, mnajua tatizo lipo wap?? Sisi tumeshajua kuwa beki mbovu, na nyie je??
 
Hii timu misiba tu kila siku!

Cc: Nzi

Misiba tupu nini,hebu ngoja nikuulize:-
1.kabla ya msimu wa mwaka jana bingwa mtetezi alikuwa nani?
2.Arsenal ni moja ya timu kubwa(kama ambavyo wao wanavyodai)ina miaka mingapi inacheza msimu mzima kutafuta chance ya kucheza UCL pasippo kubeba ndoo ya EPL,lakini mbona hamuongei?
3.Liverpool ambao wamefanya biashara ya kimangimeza wakidhani ya mwaka jana yatajirudia mbona hamuongei?
4.hivi unajua Man U iko katika hali ya kuyumba kama zinavyoyumba kiuchumi nchi za ulaya,je ulishawahi kusikia zimedrop forever?
Sipendi bishana na mashabiki wa Chealsea na Man City timu ambazo zimepanda ligi miaka ya 2000' baada ya kushuka huko nyuma
 
Last edited by a moderator:


Hizo zilishabaki Story!

Tuongelee sasa! Mbona misiba kila siku?
 
Ahsante sana Mkuu Wacha1, hizi picha zimenifanya nicheke sana. Hakuna ligi tena duniani kama EPL maana mpaka utani wa mashabiki kwenye vyombo vya habari mbali mbali yakiwemo magazeti na mtandao ni burudani ya aina yake lol!!!

 
Last edited by a moderator:
Timu yenye safu ya washambuliaji wasiokuwa butu haifungi goli la tatu kwenye dakika ya 57 na kubweteka kuanza kukimbia kimbia kiwanjani huku na kule wakati washambuliaji wa timu pinzani wakifunga goli nne "nyota wa mashambulizi" wa MANU hawakufanya lolote la kuhakikisha wanatoka kiwanjani vifua mbele. Khe Khe Khe Khe Khe lol!!!! Naona bado umenuna ukimuona mdudu Nzi msalimie sana mwambie aiepuke mizoga asiyoijua ni hatari kwa afya yake 🙂

Hivi arsenal na misimu yake 10 bila kombe, mnajua tatizo lipo wap?? Sisi tumeshajua kuwa beki mbovu, na nyie je??
 


Aise tumekalia kuti kavu, chacha tifanyeje bana
Huyu Van Gaffee hatoi brown envelopes bana
chi unaona waamuzi wanavyotuminya ... .. .
khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee




Naona Fungie ndiye ananisaliti hapa ... .. ..
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee




Vardy celebrates ... ...




Wine Romney complains .... .... .. .




Mambo ya King Power hayooooooooooooooooooooooo ... .. .




Leonardo Ulloaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Blame game ... ....




Louis van Gaal splashed out £60m to bring Argentina winger Angel di Maria to the club from Real Madrid

From this ... .... ... .... ...



A-di Maria is substituted by Louis van Gaal with Manchester United level at 3-3 against Leicester

To this one ... ... ...





....... .... useless .... ... b . a .s. tard!
Khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee



khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
msimu uliopita mlikuwa mmecheza na liverpool , Man City,Chelsea Swansea, Crytal palace katika mechi tano za kwanza ila mlikuwa na pointi nyingi kuliko sasa na hamjakutana na timu hizo hapo juu hata moja , mlimwonea moyes
 
Kwani United ni so special to the extent kuwa haiwezi kulinganishwa na timu nyingine?

Au ni vibaya ni vibaya kufanya comparative analysis?

Yes, very special at the moment.

20 EPL titles, no other team has 20 titles, right?!

Richest club in UK, no other team is richer than United, right?

And the list can go on to show how special is Manchester United FC.
 
#WakaangaSumu na shombo zao...uwanja wenu mwageni shombo weeeee, siye wengine shombo ndiyo chakula chetu 😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…