Kama kawaida yenu. Giggs aliposhinda mechi ya kwanza baada ya kuchukuwa timu toka kwa Moyes mlisema hivi hivi, matokeo yaliyofuata tunayajua.
LoL!!! Eti kipigo cha leo cha timu ya kata kimeleta hofu kwa nyingine za EPL!! Hongera za Van Girl kwa kuleta hofu kubwa EPL Kwi kwi kwi kwi mtachonga sana leo.
Hongereni. Ushindi najua ni mtamu, ila QPR ni moja ya timu zenye worst records katika EPL na Manu ni timu iliyotumia pesa nyingi ktk msimu mmoja kuleta majembe. Pia isisahaulike QPR wamepanda msimu huu. Hivyo nilitegemea Manu kushinda kwa kushindo hicho tena kwao. Tests zinakuja kama kweli mko tayari. Subirini.
Acha hizo wewe as long as wako kwenye ligi si wadogo hao!! Mbona Leicester walipotufunga mlisema sana kwamba tunafungwa na kitimu kidogo kama ile. Mwendo mdundo ndo safari imeanza hivyo,haters mjipangeeee!!!
Nipo mkuu,nilikuwa nachek game na kisimu changu kilikuwa kimekata moto,ila nimefurahishwa sana na perfomance niliyoina ya vijana wetu wapya
Na mashabiki walivyokuwa wanamshangilia nahs atalala meno yote nje
sio mbaya tutawapa pound m10 zaidi mwisho wa msimu
Hv hii quote umeandikiwa au umeandika mwenyewe au umeandikiwa!!! Maana sitaki kuamini kama kweli unaweza kuandika matapishi haya mbele ya kadamnasi
hahahaha ushindi bana, wiki mbili zilizopita hii thread mida kama hii ilikuwa haina wenyeji zaidi ya Bulldog na RRONDO lakini leo kuna mtu mingi .Nasubiri wiki mbili, tatu zijazo nione kama itakuwa kama leo..
Clean sheet looser. 3 points netted. Wew baki na loss ya aston villa wako
wewe mbwe mbwe zooote kumfunga QPR tu!" ........... nahisi mtaota leo.
Grand PA
ila hongereni!" kw point 3. hivi goli la pili alilofunga Herera kalifabrigas nani? .......... mana zilipigwa pasi za haraka sana.
Grand PA
Kama kawaida yenu. Giggs aliposhinda mechi ya kwanza baada ya kuchukuwa timu toka kwa Moyes mlisema hivi hivi, matokeo yaliyofuata tunayajua.
Kama kawaida yenu. Giggs aliposhinda mechi ya kwanza baada ya kuchukuwa timu toka kwa Moyes mlisema hivi hivi, matokeo yaliyofuata tunayajua.