Wakipata kamoja still tunasonga robo fainaliHongera BJ na wana MANU wote hapa jukwaani π kwa ushindi mdogo π Jamaa wakipata kagoli kamoja tu kule Milan mmeadhirika π Dua la kuku!...... hahahahahahahaha
Jamaa walianza kwa kasi sana, game kama hizi zinamfaa sana Park.Fletcher,Rafael,Park,Rooney walikuwa kwenye form ila bado tuna tatizo kwenye defence Rio bado hajawa fit but tayari tumeshawangoa
Hongera BJ na wana MANU wote hapa jukwaani π kwa ushindi mdogo π Jamaa wakipata kagoli kamoja tu kule Milan mmeadhirika π Dua la kuku!...... hahahahahahahaha
Of course kwenye defence ndio kulikomchefua sana sir Ferguson, kama ulimcheki vema kipindi cha kwanza alikuwa akisimama na kulalamika sana. Mipira ilikuwa inavuja sana unapde wa wale madogo.
Kilichonishangaza sana jana ni namba aliyokuwa anachezea Evra kipindi cha pili, sijapata kumuona akisakata mpira kutokea wingi ya kulia, najua kwamba yeye ni beki wa kushoto.
Kweli simba akizidiwa hula majani.
Hongera BJ na wana MANU wote hapa jukwaani π kwa ushindi mdogo π Jamaa wakipata kagoli kamoja tu kule Milan mmeadhirika π Dua la kuku!...... hahahahahahahaha
Hapo vipi Mkuu....next game itakuwa ndani ya OT
...aisee Rooney anatisha aisee........
Katika kupita kupita kwangu kw ambali nikaona jirani zangu hapa kuna maturubai.nikaona sio vizuri kuja kujuwa kuna nini? poleni kwa msiba ndugu zangu ndio kazi ya Mpira na Mungu.
pole sana BJ ndio ukubwa leo kwako kesho kwa mwenzio.everton wamebadirika sana nashukuru kumalizana nao mapema kabla ya kuombewa.Lol, kweli tumeipata leo toka kwa Everton..Thanks AW
Hahahahahahaha Hehehehehehehe Hihihihihihhihih Hohohoohohohohoho Huhuhuhuhuhuhuhu Poleni sana wana MANU, BJ and company hii π