Sijaelewa. Teh teh teh
kwa formation hii kwa kweli mabeki wa EPL wajiandae na kimbunga lakini na hiyo beki ya Man Utd itakua kichochoro sana, Januzaj ni wing back? halafu Falcao, RVP, Mata, Di Maria kuna yeyote kati yao anaoweza kusaidia kukaba pindi wakipoteza mpira? Hapo kwa Fletcher huoni Carrick angefaa zaidi?
Mkuu angalia vizuri hiyo possible formation yako, hii inamaana Rojo ndio atakuwa goalkeeper au watacheza 12.;
ukimaanisha lvg ataachana na mfumo wake pendwa wa 3-5-2?
ikumbukwe pia kocha huwa na mifumo zaidi ya mmoja..anaupenda huo 3-5-2 ila pia hutumia 4-3-1-2.....ambao hauna tofauti sana na 4-4-2.......ila pia ili kuwatumia wataalamu wake wote anaweza kuwapigia 4-3-3.....majembe yote mbele...namaanisha rooney, falcao na rvp....wakilishwa chakula na de-maria, matta na herrera...ahahahahahaha
man u weeee....mpaka rahaaaaaa.
Valencia, young na wengineo itabidi muwe munawaombea wenzenu waugue ndio mucheze...nafasi yenu siioni.
kwa mtazamo wangu hiyo formation ikae kinyuma,huo upande wa RVP,FALCAO NA ROONEY na walivyokaa ndo uwe ulinzi.
3-5-2 formation means 3 games 5 signings 2 points.
Kaka usajili wa Manchester United unakunyima raha, yahan uko desperate kabisa lolote linalokujia unaongea, lolote unalolikuta facebook unacopy na kupaste huku na hii ni saa moja jioni saa za Africa Mashariki ikifika saa tano usiku si utakua umeujaza ukurasa huu peke ako, nafikiri kauli yako ya kwamba Man u msimu huu haiwezi kupata world class players sasa ushaifuta eti eeh
Danny Welbeck hav medical...at Arsenal
source: skys sport