Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

official from ajax: Blind deal is done wait for official announce from manchester united


source: sky sport
 
haiumi hata,maana hamtukuti huu msimu yaani kama umeisha vile

Bad News kwenu

Ajax wame confirm Issue ya Daley Blind ni done deal ..... kwa maana nyingine ni mchezaji halali wa Man Utd

Haya masaa matatu yaliyobakia kabla ya dirisha la usajili kufungwa "Watch This Space"

Mtachukia sana kitakachofanywa na Timu Kubwa Utd
 
Bad News kwenu

Ajax wame confirm Issue ya Daley Blind ni done deal ..... kwa maana nyingine ni mchezaji halali wa Man Utd

Haya masaa matatu yaliyobakia kabla ya dirisha la usajili kufungwa "Watch This Space"

Mtachukia sana kitakachofanywa na Timu Kubwa Utd
. mkuu kwa Falcao Nimekubali jamaa mpira wake kwenye timu zote timu yenye kumdondoshea mpira wa juu na kutoka pembeni ni anazimaliza na Man U kwa Hilo inamfaa ni Kama Van Nisto! Ila bado nashangaa Welbeck why United wa namuachia na vipi Arsenal mashabiki hawamtaki ni mchezaji Mzuri tu ila kwa Falcao heshima.
 
DonDonald itabidi nikuite Woodman Yule Katibu wenu mkuu sijui Kama ndio jina lake watu tulimzarau kweli mzarau mwiba humchoma sasa jokes zitaisha tehtehteh.
 
mkuu kwa Falcao Nimekubali jamaa mpira wake kwenye timu zote timu yenye kumdondoshea mpira wa juu na kutoka pembeni ni anazimaliza na Man U kwa Hilo inamfaa ni Kama Van Nisto! Ila bado nashangaa Welbeck why United wa namuachia na vipi Arsenal mashabiki hawamtaki ni mchezaji Mzuri tu ila kwa Falcao heshima.

Welbeck tatizo akibaki Utd ataozea benchi jambo ambalo litaleta matatizo kwenye timu ya taifa, kama Waingereza watakuwa hawachezi kwenye timu zao.

Ila "haendi" Arsenal wenyewe si walitufanyia mtimanyongo kutuuzia beki wao, kama vipi Welbeck atauzwa Hull City lol

Dah huku Di Maria huku Wazza Huku RVP huku Matta huku Falcao.... tutaonana wabaya msimu huu
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
NAona inaanza kurejea upya...... Mtatuamkia mwaka huu...
 
We are delighted to announce that Daley Blind has completed his transfer to United for a fee of£14million. Daley joins on a four-year contract with the option to extend for a further year.
Read more:
http://bit.ly/1vF90fa

©MANCHESTER UNITED
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
ImageUploadedByJamiiForums1409601198.022953.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
At Last

BwfN_krIMAAQd3v.jpg


Manchester United sign Falcao on loan

Manchester United is delighted to announce that Radamel Falcao has joined the club on a one-year loan deal from AS Monaco, with an option to buy at the end of the loan period.

Falcao, 28, became a Monaco player in 2013 after very successful periods at Atlético Madrid, where he made 91 appearances, scoring 70 goals and became the first player to score a hat-trick in a single-legged UEFA Super Cup; and formerly at FC Porto, making 87 appearances and scoring 72 goals.
Radamel Falcao said: "I am delighted to be joining Manchester United on loan this season. Manchester United is the biggest club in the world and is clearly determined to get back to the top. I am looking forward to working with Louis van Gaal and contributing to the team's success at this very exciting period in the club's history."
Louis van Gaal said: "I am delighted Radamel has joined us on loan this season. He is one of the most prolific goalscorers in the game. His appearance-to-goal ratio speaks for itself and, when a player of this calibre becomes available, it is an opportunity not to be missed."
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Back
Top Bottom