Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Aisee mi naona niko tofauti na wewe! Dogo ni clinical finisher, madrid watu wa kumuwekea mpira ndani ya six yard box wapo wengi. Yaani mi naona pale ndo kafika. Pia angeenda Barca angefanya poa sababu watengenezaji wapo wengi.

Poa Ngoja tuone truegooner
 
Last edited by a moderator:
Ngoja tusubiri hizi sarakasi za leo zitaishaje but Kagawa kishaondoka Chicharito yuko Madrid then Wellbeck na Cleverley wanaondoka
 
View attachment 182000

Sidhani kama dogo atakuwa na life poa ndani ya Madrid japo wengi wamepakimbia ili wasiharibike kutokana na ushindani wa namba ila nahisi tuliyemtoa na atakayerudia level zake ni Kagawa

Watajua wenyewe huko cha msingi hajauzwa jumla kaenda kwa mkopo kwanza akifanya vizuri anaweza kurudi Utd au kuuzwa kwa dau kubwa
 
BwcCovpIQAI873y.jpg

MANCHESTER UNITED'S NEW FORMATION...LEFT SIDED!!!
 
View attachment 182000

Sidhani kama dogo atakuwa na life poa ndani ya Madrid japo wengi wamepakimbia ili wasiharibike kutokana na ushindani wa namba ila nahisi tuliyemtoa na atakayerudia level zake ni Kagawa

mkuu utanambia huyo dogo madrid ndo itamfaa ni mmaliziaji mzuri sanaaaa na pale kuna wagawa mipira wazuri mnooooo.
 
mkuu utanambia huyo dogo madrid ndo itamfaa ni mmaliziaji mzuri sanaaaa na pale kuna wagawa mipira wazuri mnooooo.

Chicha ni mzuri sana alipaswa kwenda timu ambayo atacheza kila wiki Madrid kuna Isco,Jesse,CR7,Bale,Benzema,Rodriguez kumbuka Morata aliondoka sababu ya kukaa benchi
 
Chicha14 kajimalizia kazi yake ya kumtungua petro cheque wameamua kusepa wote sasa baada ya kuona petro hana # tena chelsea na yeye akatimua🙂
 
Huyu Falcao ana aleji na
Champions league
wakati porto ina qualify ucl
yeye akahamia
atletico ambayo haipo uefa na
atletico
wakafuzu yeye akahama
akaenda monaco
wakati monaco nao wamefuzu
uefa anahama
tena anaenda mtaa wa saba
huyu jamaa
wenzake wanatafuta kucheza
uefa yeye
anakimbia
 
Chicha ni mzuri sana alipaswa kwenda timu ambayo atacheza kila wiki Madrid kuna Isco,Jesse,CR7,Bale,Benzema,Rodriguez kumbuka Morata aliondoka sababu ya kukaa benchi

Wengi ulotaja hapo ni mawinga na No.10s, Chicharito atafight na Benzema, Jesse ni majeruhi bado nafikiri.
 
Back
Top Bottom