Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

waone mashabiki wa manu u hao

No man's land between the defence and the midfield! We are missing Carrick! Fletcher is no more the player he used to be!
 
Je wajua?......

Je wajua kuhusu mchezaji
mpya wa man u aitwaye di
maria....sasa nataka ujue
kuhusu jina lake
linavyotafsiriwa kwa hizi
baadhi nchi..


Argentina....angel di
maria


arab.....malikia bint
mariam


english....angel of marie


nigeria....angel okoya
ikwechuku


china.....anching shon
maring


tanzania....anjela wa
mariamu..


Huyo ndo angel di
maria...
 
Siamini kinachoendelea hapa, Manchester United na Burnley labda wamebadilishana jezi kutuzuga watazamaji. Waliovaa jezi nyeupe ndio Burnley na waliovaa damu ya mzee ndio Manchester United
 
Mkuu wangu nikiangalia nadhani pia Fletcher kashindwa kuunganisha timu vyema labda back line yetu inamchanganya sana lakini huyu dogo Blackett anajitahidi sana kama atapewa nafasi zaidi anaonekana atakuja kuwa mchezaji wa kutumainiwa England & Man utd.

Umeelezea vyema. Ila pia credit kwa hii timu. Inacheza kama ipo premier league siku nyingi. Wanajiamini sana...na hicho kinawasaidia la sivo wangekuwa wamefungwa!
 
Khe khe khe khe Mkuu Ngongo unarudi lini maskani yetu Gunners!? Usiogope Mkuu tutakupokea kwa mikono miwili. Huna sababu yoyote ya kuendelea kupata hizi stress kila wiki Mkuu. Karibu sana nyumbani.



Mkuu wangu nikiangalia nadhani pia Fletcher kashindwa kuunganisha timu vyema labda back line yetu inamchanganya sana lakini huyu dogo Blackett anajitahidi sana kama atapewa nafasi zaidi anaonekana atakuja kuwa mchezaji wa kutumainiwa England & Man utd.
 
Last edited by a moderator:
kweli unachoongea maana hii formation ya 3-5-2 lazima hao mabeki wawili nyuma wawe na mapafu ya mbwa. ila tatizo wanapoteza mipira kirahisi sana na siyo muda mrefu watajuta.

sijui ila tu nataman sana tushinde hii mech
 
58

Burnley 0 - 0 Manchester United

De Gea kanywa piwa sio bure
 
Kuna watu wamo kwenye hili jukwaa sijui kwa nini hawapo kuwasaidia Burnley kuokota mipira maana uwanja hauna waokota mipira
 
Page #Nzi, Belo, Prondo, Mndengereko, Mbeky, Chris Mushindwa, DonDonald
 
kweli man yu leo mna kazi sana

attachment.php
 
kama naiona dar es slaam wapenzi wa man u waliyopo kwenye vile vibanda vyetu vya kuangalizia game walivyoduwaa
 
Back
Top Bottom