Huyu Nani anahitaji msada wa kisaikolijia, he is simply pathetic, ana kuwa na tackle damn malicious, aombe FA wasim-ferdinand!!
Anyways, tushukuru Everton kampunguza kasi Bluzzz, bila us@%ng@ wa nani we would have top the table!
That Pressure unayoongelea will NEVER happen to Man Utd, more especially kwa wanazi sie, rejea post zetu hususani katika kipindi kile cha mpito, kipindi, Fletcher na Carrick wanapipga beki za kati, What was our stance?, sisi ndio Manchester UNITED, embu soma signature ya Belo muone nini naamanisha.