Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
....Bwahahahahahahahahaha!!!!
hivi hii timu ina matatizo gani?
![]()
.......Tampa Bay Buccaneers!!! (Sssssshhhhhhh...usimwambie mtu!)
hivi hii timu ina matatizo gani?
![]()
Namsikitikia sana LVG kwa kukubalia kubeba huu mzigo. Naamini kabisa % kubwa ya maamuzi yake kukubali kujiunga na united hayakuwa yake bali ni nguvu ya media za uingereza.
Kwa mbali naona akienda kuichafua CV yake. Kiukweli hata aina ya kikosi alichonacho ni cha hovyo. Kuna baadhi ya wachezaji hawana hadhi ya kuichezea man united. Kama unabisha muulize #Roy keane.
ha ha ha ha sio mimi shabiki mmoja hivi wa man u goal.com
Nipo,soon mtakimbia
Bek hatuna wakuu