Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,876
mechi hii tunashinda vizuri tu.
We will be back with a master plan
Sent from my iPhone using JamiiForums
.....#MyPrayers are with SUNDERLAND! 😛eace:😛eace:😛eace:
mechi hii tunashinda vizuri tu.
We will be back with a master plan
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hawa jamaa watakuwa wapo katika FBI the most wanted list siku hizi. Huwa wanatokea kwa kuchungulia kama alivyokuwa anafanya Osama.
48' some of the attacking play in this match has been so slow. Too predictable. van persie caught offside as wes brown steps up
second half imeanza. mpira ni wa kawaida sana. yaani united mmebaki jina tu. Kama jibwa lisilo na meno bhana. Mmebaki kwenye media tu, uwanjani hamna kitu. Mnatoka jaaaashoo! arrrghh! Bora ningeangalia kagame cup
Mambo siku hizi ni kuonekana timu ikiwa inafanya vizuri ikifungwa mtu unapotea tu au sio DonDonald na Company?
Manure ndo nini?
Always tupo Mkuu.....
Kaa tayari kupokea breaking news kuanzia kesho