Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Scouser lazima awabebe!
Hawabebeki mnafikiri Pre Season Eh! Sasa anzeni ndio kwanza Game ya Kwanza tehtehteh sura zimewashuka sio Pre Season tumeona mnavyoshambulia kweli nyie wakali man speed kubwa!
 
Mwanzo mbaya...ila siyo ishu...bado naendelea kusisitiza timu ina average players...tatizo siyo kocha..wachezaji mizigo...ngoja LvG apitishe fagio la chuma..

#GGMU
 
Ligi ndo imeanza hivyo pole I majirani...hasa Nzi
 
Last edited by a moderator:
Ligi ndo imeanza hivyo pole I majirani...hasa Nzi
 
Last edited by a moderator:
afadhali manaake walikua washaanza vijidomo domo sasa watasema ligi ndo kwanza inaanza
 
Ligi ndo imeanza hivyo pole I majirani...hasa Nzi
 
Last edited by a moderator:
Mwanzo mbaya...ila siyo ishu...bado naendelea kusisitiza timu ina average players...tatizo siyo kocha..wachezaji mizigo...ngoja LvG apitishe fagio la chuma..

#GGMU

Mpaka sasa Moyes ni better than Luisa Van Girl. Moyes hakufungwa mechi ya kufungua dimba Old Trafford.
 
Wachezaji mizigo wengi...LvG akifanya mzaha wa kuchekacheka na Woodward, hakika ataharibu CV yake na aina ya wachezaji waliopo...

Watu waliniponda kumtetea DM mwaka jana...ila pengine sasa nyuso zimewashuka...nilisema kwamba hata SAF atastruggle na wachezaji waliopo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…