Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Yeah linapokuga suala ya ku double mishahara yao kuna baadhi itabidi Utd ikatae, itakuwa kama mambo ya sneidjer alitaka mshahara wa kufa mtu angalia sasa alipo

Kuhusu LVG: kuna tabloid newspaper moja kwenye web yao dah wanakomaa kuwa ataleta kama wa dutch 6 nikaona mhhh mambo ya Wenger na wafaransa vile au kama newcastle vile, ila aliposema kuwa UTd itamnunua Schweinsteiger kwa £10 m hapo ndipo nikagundua jamaa story zao zote za uongo.

Nyie mnanunua nani? dah hivi mwarabu wa City ana hisa Arsenal?

Cardiff si wameshuka daraja? Labda atawasaidia katika FA Cup na Capital One Cup tu. Nasubiri nione vifaa mtakavyoleta lakini najua LVG anaweza kushawishi baadhi ya wachezaji wazuri wasiopata au wenye wasiwasi wa kupata namba msimu ujao katika timu zao kama Mario Mandzukic kuja kwenu lakini wale wenye uwezo wa kuwa ndani ya first 11 na wanaopenda UCL itakuwa kazi labda m-double mishahara yao.
 
kwa wapenzi wote wa man utd na soka kwa jumla nasikitika tumempoteza mmiliki wa man utd....RIP MALCOM GLAZER

Premier League: Tycoon who bought Manchester United in 2005, Malcolm Glazer, dies

malcolm-glazer-manchester-united-tampa-bay-buccaneers_3149687.jpg

Malcolm Glazer: Bought Man United in May 2005 for £790 million

Malcolm Glazer, the man who led the controversial takeover of Manchester United in 2005, has died at the age of 86.
Since Glazer bought United for £790 million, the club has won five Premier League titles as well as the 2008 Champions League title.
It is understood Glazer's death will not have any significant effect on the ownership of the Premier League club.
Within a year of the leveraged buyout, Glazer had two strokes and his children ran United, all of them sitting on the board of directors and owning the remaining 90 percent of the club.
A statement on the Manchester United website read: "The thoughts of everyone at Manchester United are with the Glazer family tonight following the news that Malcolm Glazer has passed away.
"Staff at Manchester United extend deep and sincere condolences to them all at this difficult time."

165012893_3593388709001_video-still-for-video-3593356388001.jpg

Manchester United owner Malcolm Glazer has passed away at the age of 85.

A statement on the website of NFL team Tampa Bay Buccaneers, which Glazer bought in 1995, confirmed the news.
It read: "We are saddened to announce the passing of Owner/President Malcolm Glazer earlier this morning.
"A dynamic business leader, Glazer helped mould the Buccaneers into a model franchise and one respected league-wide. Since being purchased by Glazer in 1995, the Buccaneers franchise has earned seven playoff berths, five playoff wins, and captured its first Super Bowl championship in 2002.
"Known among his league peers as a pioneering thinker, Glazer infused his team and employees with the determination and dedication to be the best in the NFL. Glazer's commitment to building a championship organization has provided the foundation for continued success, on and off the field.
"Glazer's input was instrumental on the league level as well, as evidenced by his time serving on the NFL's Finance Committee. He also played a major role in Tampa becoming a host for the Super Bowl on several occasions."
He leaves behind his wife Linda, six children and 14 grandchildren.
United takeover

Glazer's takeover of United was hugely controversial with fans because of the amount of debt he incurred in buying the club, which costs millions to service.
Financial analyst David Buik told Sky Sports News that he believes Glazer, who had been ill for some time, would have made all necessary arrangements for the running of the club in the event of his death.
"When you advancing in years at the age of 85, if you haven't made provisions for an unhappy event such as this then you have not done your homework," he said.
"I don't believe for one minute that an American businessman who has got exposure in debt, in a substantial manner - and having two sons, Avram and Joel, who are hands on - won't have made provisions.
"What happens tomorrow morning? It is possible the share price might come down a bit as a reaction. But the rest of the Glazer family is in place."
Glazer was a controversial figure in England, but in the US he was a hugely respected businessman, particularly for turning Tampa Bay from a laughing stock into a Super Bowl-winning franchise.
Buccaneers defensive tackle Gerald McCoy posted on Twitter: "Rest in peace to the driving force that helped transform the organization that changed my life forever. Forever grateful!! RIP Mr. Glazer."
NFL commissioner Roger Goodell added: "Malcolm Glazer was the guiding force behind the building of a Super Bowl-champion organization.
"His dedication to the community was evident in all he did, including his leadership in bringing Super Bowls to Tampa Bay.
"Malcolm's commitment to the Bucs, the NFL and the people of the Tampa Bay region are the hallmarks of his legacy.
"Our thoughts and prayers are with his wife, Linda, their six children and the entire Glazer family."
 
LOL dalili za usajili wa "World Class Players" tumeshaanza kuziona toka kwa kina Kroos, Robben, Hummels wote wanahaha kusaini mikataba ndani ya Old Trafford.
most of the players wako busy na world cup kwa sasa just wait mpk world cup iishe utaona mambo sasa hivi kinachoendelea ni rumours hata zile za kweli ni ngumu kuwa finalised kutokana na wachezaji kuweka concentration sana kwenye world cup hata timu pia zinatolea macho world cup kuangalia upcoming stars so keep calmeverything is under controll
 
Most of Club kubwa duniani, zinataka kufinalize deals za usajili kabla ya WC, kwasababu mahitaji ya mchezaji na thamani yake huwa inapanda pale atakapo-perfom vizuri kwenye WC..

Ndo maana Club nying znaamua Kutable bids na kunegotiate terms na Clubs pamoja na mchezaji mwenyewe kipindi hiki.
 
most of club kubwa duniani, zinataka kufinalize deals za usajili kabla ya wc, kwasababu mahitaji ya mchezaji na thamani yake huwa inapanda pale atakapo-perfom vizuri kwenye wc..

Ndo maana club nying znaamua kutable bids na kunegotiate terms na clubs pamoja na mchezaji mwenyewe kipindi hiki.

kweli kabisa
 
Most of Club kubwa duniani, zinataka kufinalize deals za usajili kabla ya WC, kwasababu mahitaji ya mchezaji na thamani yake huwa inapanda pale atakapo-perfom vizuri kwenye WC..

Ndo maana Club nying znaamua Kutable bids na kunegotiate terms na Clubs pamoja na mchezaji mwenyewe kipindi hiki.
sawa ila kwa man u kesi inaweza kuwa tofauti kidogo coz manager wake yupo busy kwenye national team preparation ya world cup,mambo yote kaachiwa ed woodward binafsi naamini dili nyingi zitakuwa finalised after world cup coz hata agent wanataka players wao wapande thamni ili wpate cha juu kingi
 
Mimi kwa kauzoefu kangu kadogo,nadhani timu nyingi hizi kubwa huwa wanakatabia ka kubomoa timu zote zilizoingia fainali ya UCL na Uefa cup kwa msimu huo na kuwachukua wachezaji waliyong'ara.

Sasa msimu huu imekua ngumu kuwapata wachezaji katika timu hizo coz wengi wana mikataba mirefu na wanachukua pesa nzuri pale walipo.
 
Yeah linapokuga suala ya ku double mishahara yao kuna baadhi itabidi Utd ikatae, itakuwa kama mambo ya sneidjer alitaka mshahara wa kufa mtu angalia sasa alipo

Kuhusu LVG: kuna tabloid newspaper moja kwenye web yao dah wanakomaa kuwa ataleta kama wa dutch 6 nikaona mhhh mambo ya Wenger na wafaransa vile au kama newcastle vile, ila aliposema kuwa UTd itamnunua Schweinsteiger kwa £10 m hapo ndipo nikagundua jamaa story zao zote za uongo.

Nyie mnanunua nani? dah hivi mwarabu wa City ana hisa Arsenal?

Kama ataleta waholanzi wenzake media zenu zitaanza kumsakama kama walivyokuwa wanamsakama Wenger na wafaransa wenzake Arsenal miaka michache iliyopita. Hata hivyo nadhani kipindi hiki hakuna waholanzi wazuri kama enzi za nyuma labda alete Wajerumani, Waspanish, Wabelgium. Man Utd chini ya LVG inaweza kujaza wageni wengi kuliko Wa-UK, mtakuwa kama Arsenal na Newcastle kila kona ni kifaransa au kispanish.
 
Poleni kwa msiba wana Manchester United. Ni msiba mkubwa wa kuondokewa na mmiliki wa timu yenu. Sijui itakuwaje mwakani natagemea watoto wasigombanie urithi na wakaipeleka timu yenu katika administration
Mambo ya kugombania urithi yako Africa sio America/Europe
 
Mambo ya kugombania urithi yako Africa sio America/Europe

Mkuu urithi hauna cha amerika wala ulaya na hauna cha tajiri wala maskini. Watu duniani wanagombania na sometimes kuuwana kwa urithi. Sema hawa kina Glazers nadhani haitotokea.
 
Kama ataleta waholanzi wenzake media zenu zitaanza kumsakama kama walivyokuwa wanamsakama Wenger na wafaransa wenzake Arsenal miaka michache iliyopita. Hata hivyo nadhani kipindi hiki hakuna waholanzi wazuri kama enzi za nyuma labda alete Wajerumani, Waspanish, Wabelgium. Man Utd chini ya LVG inaweza kujaza wageni wengi kuliko Wa-UK, mtakuwa kama Arsenal na Newcastle kila kona ni kifaransa au kispanish.

Hawezi kuwa mjinga kiasi hicho ajaze wachezaji wa kutoka kwao, kwanza hawezi kupewa nafasi hiyo

Nimekuuliza Mmiliki wa Man City ana hisa kwenu? au nyie ni tawi na City?
 
sawa ila kwa man u kesi inaweza kuwa tofauti kidogo coz manager wake yupo busy kwenye national team preparation ya world cup,mambo yote kaachiwa ed woodward binafsi naamini dili nyingi zitakuwa finalised after world cup coz hata agent wanataka players wao wapande thamni ili wpate cha juu kingi

Sidhani kama Utd watafanya kosa kama walilofanya msimu ulioisha

Moyes alianza kazi muda umeshakwenda matokeo yake tukawa tunakurupuka tuu kugombea wachezaji

LVG keshatoa mapendekezo yake ya wachezaji anaotaka, kinachosubiliwa ni dirisha la usajili lianze watu waingie kazini

Ukisubili mpaka kombe la Dunia liishe, itakula kwako
 
Hawezi kuwa mjinga kiasi hicho ajaze wachezaji wa kutoka kwao, kwanza hawezi kupewa nafasi hiyo

Nimekuuliza Mmiliki wa Man City ana hisa kwenu? au nyie ni tawi na City?

Mmiliki wa City anafanya kama alivyofanya Abromovich mwanzoni atagonga ukuta muda si mrefu. Sasa ndo naamini kwa nini kina Sensei, Ghubaboy walikuwa wanatuma pin numbers Conventry na BK akili zinakuja visima vikianza kukauka. Watamlipa Sagna pesa zote hizo kwa kukaa benchi afu mtu mwenyewe ana miaka sana sana 2 iliyobaki.
 
Sidhani kama Utd watafanya kosa kama walilofanya msimu ulioisha

Moyes alianza kazi muda umeshakwenda matokeo yake tukawa tunakurupuka tuu kugombea wachezaji

LVG keshatoa mapendekezo yake ya wachezaji anaotaka, kinachosubiliwa ni dirisha la usajili lianze watu waingie kazini

Ukisubili mpaka kombe la Dunia liishe, itakula kwako
ok lets wait and see dirisha la usajili kufungulwa sio mbali july 1 sio mbali kabisa bado mwezi mmoja tu,kwaupande mwingine soccer analyst wanassema bora uholanzi itolewe mapema world cup ili lvg apate muda mwingi wa pre season na man u plus kusaidana na ed woodward katika usajili tofauti na akiwa mbali
 
Mkuu urithi hauna cha amerika wala ulaya na hauna cha tajiri wala maskini. Watu duniani wanagombania na sometimes kuuwana kwa urithi. Sema hawa kina Glazers nadhani haitotokea.

Mkuu, hakuna kitu kurithi katika Business ya Man Utd, yule bwana alinunua timu kisha kusplit shares sawasawa kwa kila mwanawe, 10% ikafanywa public floatation na 90% is divided equally among his sons, sasa usitegemee ugomvi wowote hasa labda waamue kuuza shares zao
 
Wakuu mbona kimya yasijeyakawa ya msimu uliopita.

mkuu subiri world cup iishe ndio utaona activities za usajili.....sasa hivi kocha wetu ana timu inashiriki world cup ukijumlisha na wachezaji wengi tunaowataka wako kambini kwa ajili ya world cup itakuwa chaos kama tukianza pilika za usajili sasa hivi.
 
kama kikosi cha united kikiwa hivi lazima tubebe epl next season
DE GEA, JONES , SHAW ,MANGALA ,HUMMELS , KROOS , MATA , KAGAWA , VAN PERSIE , ROONEY ,JANUZAJ.
 
Back
Top Bottom