Safi sana
![]()
Evra extends United stay
Manchester United is delighted to announce that Patrice Evra's contract has been extended by a year, taking the popular Frenchman's stay at Old Trafford into a tenth season.
Evra has made 379 appearances for the Reds, scoring 10 goals, and he has also stood in as captain when previous club skipper Nemanja Vidic was absent through injury.
The French full-back was signed by Sir Alex Ferguson from Monaco in January 2006 and has gone on to win five Premier League titles, three League Cups and the Champions League during his time in Manchester.
Source: manutd.com
Nasikia Tonny Kroos amechomoa kuja United
umesikia toka kwa nani...au umeota...??
umesikia toka kwa nani...au umeota...??
Nadhani hawa hawatakuwa hivyo, jamaa wapo kibiashara(kimafanikio zaidi) wote wanaonekana wana akili sio wale wenzangu na mimia lakini pia huwezi kujua kuna familia nyingine zinakuwa na mshikamano dingi au mother akiwa hai pindi akifa mshikamano unasambaratika. Nawatakia Man Utd family condolences kwenye kipindi hiki kigumu kilichowapata
moyes kafanya alichotumwa ha ha ha ha haaaaa,r.i.p marehemu.
Ngoja tuone itakavyokuwa ila mpaka sasa dalili zinaonyesha kila kitu kitakuwa kama kilivyo
Tunasubili dirisha la usajili lifunguliwe "World Class Players" wapya waje kuanza mazoezi carrington training ground na wakina Rooney {Ninajua haters mtatekeleza jukumu lenu kwa nilichoandika hapa}
LOL dalili za usajili wa "World Class Players" tumeshaanza kuziona toka kwa kina Kroos, Robben, Hummels wote wanahaha kusaini mikataba ndani ya Old Trafford.
Hautaamini watu watakaokuja old traford msimu ujao .... tutatisha mkuu amini maneno yangu
Lol nimeona Macheda leo kawa released by UTD ... kumbe alikuwa bado anavuta mpunga tuu
Ila sio mbaya kaenda kwenye "tawi letu" kama mnavyosemaga; Cardiff