Tatizo lako Mndengereko umeweka ushabiki sana mbeleee!!!
Kuna Team kibao nazo hazijafikia malengo yao Msimu huu..PL ishaingia kwenye New Era, sahv hata Southampton na the likes of Everton wanawazia Top four spot kaka..sahiv Spurs wana Spend Big kama any other big teams in Europe, na wanajiona kabisa wana hadhi ya kuwa among of the Top 4 teams..tena kuna Liverpool, Man city, Arsenal na Chelsea, zote hizo zina look foward katka kuimarisha vikosi vyao mjomba..
Competition Kwenye PL itakuwa ni kubwa zaid kuliko unavyofikiria wewe!!
Sitoshangaa kama kuna mashabiki wa Manure watakuwa wanawazia ubingwa next season!!!
It wil take years Manure kuchukua tena PL, and it will take seasons Manure kurudi tena Top4..
Na kwa team zilizopo Top6 now, sioni hata moja ikiachia nafasi kirahisi kama mnavyofikiria..so msitake kum-bebesha Kocha wenu ajaye kazi kubwa kwa mitazamo yenu ya kishabiki.
Sidhani kama Liverpool watasumbua sana next season labda wanunue wachezaji wengine wengi back four yote ni mbovu still mnahitaji striker,backup ya Coutinyo na msimu huu hamkuwa na michuano ya Ulaya.
Everton nao hawana squad depth key players wao (Lukaku,Barry na Deloflou) wanarudi kwenye timu zao.Nao next season watashiriki
michuano ya ulaya.Last season Swansea walitishia sana hadi timu kubwa zikawa zinamtaka kocha wao but msimu huu ambao wameshiriki michuano ya Ulaya wamechemsha sana kwenye ligi ikabidi wamtimue kocha wao
Spurs lazima wauze ndio wanunue kila msimu wanauza (Keane,Berbatov,Carick,Mondric,Bale) otherwise hawana ubavu wa kununua wachezaji wa bei kubwa
Sijaona competition yeyote iliyoongezeka zaidi ya ManUnited kuchemsha na Liverpool kupanda
hapo kwenye red yaani you are completely wrong sijui kwanini unashindwa kuona kwamba timu ndogo akina southampton,everton na hata southampton hazina ubavu wa kuwa na consistency ya ushindi kutoka mwanzo wamsimu mpk mwisho na hapo timu kubwa (man u tutapowapiga bao) kumbuka everton na southampton zilikuwa nafasi ya ngapi wkati mzunguko wa kwanza unaisha ila tatizo kumaintain hiyo consitency yao ya ushindi ndo ishu inkaubidi uwe na experience na kuhusu spurs kuspend sana msimu uliopita waliboostiwa na kuuzwa kwa bale sidhani kama wenyewe tu wangeweza kuspend hela nyingi kiasi kile
aise uko serious???kukosa kombe mwaka mmoja ndio inakufanya useme hay??eti 'it will take seasons man utd kurudi top 4!!! hivi unajua timu unayoizungumzia??? NI TIMU AMBAYO BADO NI BINGWA WA EPL KWA 11PTS,MSIMU KABLA YA HUO ILIKOSA UBINGWA KWA GOAL DIFFERENCE NA MSIMU KABLA YA HUO ILIKUWA BINGWA!!! KWAHIO TIMU HII GHAFLA MSIMU MMOJA TU NDIO IMEKUWA HIVYO UNAVYOSEMA....ITACHUKUA YEARS KURUDI TOP 4.....HAPA NAONA WEWE NDIO UNAONGEA KISHABIKI NA SI MWINGINE, AU LABDA UNAFIKIRI SIS TUTAKUWA KAMA LIVERPOOL 21YRS[IM SURE/NOT INTERESTED TO KNOW] HAWAJAWAHI KUSHINDA EPL NA HATA TOP FOUR NI ISSUE KWENU KWA MISIMU KADHAA.
Kila team huwa inaspend kulingana na Mahitaji ya team..
Liverpool sahiv ipo UCL, na Ayre ameshasema kuwa, Wataspend kwa gaharama yoyote kulingana na Mahitaji ya kocha..na team sahiv haiwez kutarget wachezaj wa 7mil kama Aspas na the likes..Mahitaj ya team sahiv ni makubwa zaidi, so lazima board ispend kulingana na mahitaji ya team,
Na mpaka sasa ishajulikana sehemu ambazo BR amesema anataka kuzicover na kuongeza Depth ya kikosi..DM, LB, and two attacking mids..
Tukubaliane tu kuwa Spurs, Aims zao za sasa ni kubwa zaid kulinganisha na Miaka kadhaa ilyopita, tangu wapate ile nafas ya kuingia UCL, malengo yao kama team yamebadilika..as u can see wameshaOpen talks na kocha wa Ajax, De Boer kuja kuimanage team next season. inamaana De Boer nae atataka kuja na wachezaji wake, au atahitaji wachezaj ambao wanafit kwny aina yake ya mpira..so haijalishi kuwa watauza wachezaji lakin lazma wataspend tu this summer kulingana na mahitaji y kocha..
Its clear kwamba chelsea wanahitaj zaid striker makini, No wonder majina kama ya kina Diego Costa na cavani yanahusishwa kila siku na chelsea, so kwa strikers hao ambao wanahitajika na Chelsea unadhan Mourinho atamuhitaj Lukaku??
Man city kuna Fernandinho na Jav Garcia, na bado wanamMonitor Reges wa Porto, so kwa hizo option unadhan wanamuhitaj Barry??
Afu Everton kuyumba hapa mwishoni ts not about the depth of the squad, injurie zimewacost sana, mfano Jagielka, Distin, Pienaar, Miralas, Kone, Traore, Oviedo, Gibson, hao wote ni key players, kwa mfano tu pale Man city, akiumia Toure, silva, Aguero, Fernandnho, kompany, lazma team itayumba tu regardless na squad depth ya team yao..coz ni wachezaj muhimu..kikosi cha Everton kina Option nyingi sana Bench kuliko Liverpool, thats the truth..
Despite hayo Majeruhi, Still Everton imekuwa better side kuliko Manure this season!
Manure itabidi mkubaliane n hali halisi kuwa team yenu kwa sasa ipo katika transition, Coz kama mshabik wa kweli wa Manure ulitakiwa ujue akiondoka SAF lazima team itastruggle saana..
LOOOOOOL! Kuna watu naona wameamua kulazimisha kifo cha United hata kama dalili zinaonesha kuwa ugonjwa wake ulikuwa mafua tu. One year and all of a sudden we are a lost cause that will take years to recover? Mbona watanuna wengi!?
Moja kati ya tofauti kubwa kati ya Manure na Everton this season ni kwamba Everton wamepoteza game 7 mpk sasa,Manure imepoteza game 11...
sasa ndo umeongea nini umeona everton wana consistency katika mechi zao kumi za mwisho wamepoteza michezo ambayo ilibidi washinde na hiyo ndo consistency niliyokuwa naizungumzia
sisi kocha wertu alikuwa mbovu na inawezekana pia wachezaji walikuwa hawajitumi vya kutosha coz walikuwa hawamtaki kocha consistency ya man u anza kutuhesabia sasa hivi baada ya kumtimua yule lofakwa mtiririko huo wa kupoteza mechi nyingi kati yako we na Everton, nan hapo anaonekana hana consistency this season???
Umeshinda game 18, ye kashinda game 20..umepoteza game 11, ye kapoteza 7, asa consistency ipi unayoizungumzia wewe hapa??..kwa msimu huu??
Tatizo lako Mndengereko umeweka ushabiki sana mbeleee!!!
Kuna Team kibao nazo hazijafikia malengo yao Msimu huu..PL ishaingia kwenye New Era, sahv hata Southampton na the likes of Everton wanawazia Top four spot kaka..sahiv Spurs wana Spend Big kama any other big teams in Europe, na wanajiona kabisa wana hadhi ya kuwa among of the Top 4 teams..tena kuna Liverpool, Man city, Arsenal na Chelsea, zote hizo zina look foward katka kuimarisha vikosi vyao mjomba..
Competition Kwenye PL itakuwa ni kubwa zaid kuliko unavyofikiria wewe!!
Sitoshangaa kama kuna mashabiki wa Manure watakuwa wanawazia ubingwa next season!!!
It wil take years Manure kuchukua tena PL, and it will take seasons Manure kurudi tena Top4..
Na kwa team zilizopo Top6 now, sioni hata moja ikiachia nafasi kirahisi kama mnavyofikiria..so msitake kum-bebesha Kocha wenu ajaye kazi kubwa kwa mitazamo yenu ya kishabiki.
Nasikia mwenye timu Rooney hamtaki Van Gaal aje Old Trafford.
Maisha ya rooney yapo hatarini sana pale united, akija kocha ambaye ana kiburi atamuuza tu
Na ujuwe Van Gaal ndo mtu wa aina hiyo.
Itakuwa bora, for the sake of the cub
Aisee ushabiki wa mpira una raha, jamaa unachambua utafikiri unamiliki timu.Sasa naanza kupata wasiwasi how The Grazzer Family handling "Man United Managerial Issue" kwanza wameliprolong sana na limekua a media stunt, hii ina effects sana kwa mustakabari wa team, maana speculations zinapokuwa nyingi sana basi na focus ya ya team inapotea, now tunasikia wajinga wengine kwa kuwa wana haki ya kutoa maoni waishaanza kusema Rooney haziivi na Van Gaal wakati hata huo mkataba na Van Gaal bado.
Kinachokunipa wasiwasi ni kwamba may be Van Gaal he is not the first choice of the board it is Grazzer's choice, maana Van gaal is all over the medias but nobody from inside MUFC is talking about him, na iko wazi walikua kwenye great hunt ya Kloop ambaye kuna kila dalili kawatosa wakaamishia kwa Anchellot ila kwa R. Madrid kuingia final ya CL it is obvious there wont be any further talks kwahiyo Van Gaal anabaki kuwa "after thoughts"
wasiwasi wangu mwingine kama Van Gaal will be given the job (which is likely to happen) na kama inavyosemakana anataka kuja na second hand wake Patrick Kluivert(new kid in block), na bado inasemekana atamretain Ryan Gigg(class of 92 mind/pro SAFmind) na bado inasemekana ataongezeka na Roy Keane (anti-SAF mind) what a disaster...!! God forbid. Maana nachodhani na kuamini inawezatokea conflict of interest hapo kiasi ya kwamba timu ikavunjika vipande vipande.
Sa hivi hao so called Class of 92 washajiona wanauwezo wa kuchukua timu kwa kigezo kwamba wanaijua Man United kwa muda mrefu na wanapata support kutoka kwa British medias simply becouse they are British which I dont think if they are really ready.
swala la kuangalia hapa ni kwamba endepa kocha atakaepewa timu (Van Gaal) je yupo tayari kufanya kazi na watu walimsababishia predecessor wake majanga....iko wazi class of 92 had the influence ya down fall of Moyes but without remove the fact that Moyes had no clue to use the experience of class of 92 nor to use the ability of Man united players, swali la mwisho la kujiuliza je baada ya hizi sifa alizomwagiwa Giggs "the new Pep" atakubali kuwa third hand wa Van Gaal mbele ya Kluivert..?? au he will stay aside kama alivyomfanyia Moyes..!! God forbid now I dont see light at the end of the tunnel...and i am afraid may be that light I am expecting to see might be a moving train...
BUT I still belive Man United will come strong next season na kuleta changamoto tena EPL plus top 4 spot ila naanza kuhisi labda kocha wa msimu ujao hatakuwa kati ya hayo majina yanayotajwa na media sana (Van Gaaal na Anchellot) all in all msema kweli ni jumatano ijayo.
MAY TAKE swala la manager mpya na benchi lake la ufundi ningefurahi likaisha mapema ili tuamishie attention yote kwenye usajili na kuboresha kikosi, hizi speculations zina corrupt mind ya wachezaji kabla ya kumpokea manager mpya vile vile zinafanya kazi izidi kuwa ngumu sana kwa new manager stakes baecome very high...
GGMU
Aisee ushabiki wa mpira una raha, jamaa unachambua utafikiri unamiliki timu.