Angalau sisi tulitumia £7 million kumnunua Bebe
Kuna timu ili spend £42 million kumnunua {Greatest transfer flop of all time}
2 HOURS TO GO heshima ianze kurudi mtaani lol
Lol kama kawaida yenu mnaanza kuhesabu vifaranga kabla mayai hayajatotolewa. Eti Ozil ni flop hahaha , subirini msimu ujao muone itakavyokuwa ndo mseme. SAF na ujanja wake aliuziwa muuza karanga kariakoo ya Portugal ndani ndani akadhani kapata next CR7.
Mkuu kama Giggs akipewa mechi 10 mtakuwa mnagombania kuwa top 10, jamaa hana experience ya ukocha msitegemee mengi.
Arifu mbona hujaelewa kwamba Giggsy ni caretaker ama interim manager tu? Mbona unataka kulazimisha mambo?
Nasikia Van Gaal tayari keshasaini...sasa wakaanga sumu, mtakosa la kuongea.
Hivi hii story ya Van Gaal kusaini na United ni kweli?!
"Reliable Source" inasema ni deal done
"Reliable Source" inasema ni deal done
Mtam hukua mpaka kibadeni