Kuna matokeo ya ile game ya kwanza aliyocheza na hull city mbona hayaorodheshwi hapoAlafu ujue hiz picha kama masihara kumbe ndio serious wahuni wanapikezana vijiti tu😃😃
View attachment 3702599
Inabidi niwe na simu yenye urefu wa mita mojaKuna matokeo ya ile game ya kwanza aliyocheza na hull city mbona hayaorodheshwi hapo
United anakutana na Brentford lini bado pia Aston villaInabidi niwe na simu yenye urefu wa mita moja
.
Kama jinsi msimo wa ligi ulivyo hapa chini, bila simu ya mita moja huwezi kuiona nyumbu
View attachment 3702749
NB
Mnakesi ya kujibu kwa hii aston vila ya unai
Hapo tuondoke tuondoke.View attachment 3703105
November fixture hii hapa. Haya tukubaliane kabisa mna uwezo wa kushinda mechi gani hapo?
Bado naiona nafasi kule chini
mkorea nawaonea huruma sana hawa ndugu zetu Kwa hiyo ratiba sioni hata Mechi moja wakitoboa. Team pekee Man u wana uhakika wakachukua point 3 pale Epl ni Kwa Coventry City ya Frankie Lampard
Man u ameshazoea kuwa kubwa jinga Hilo sio la kushangazaKubwa jinga la wiki
Team pekee ambayo Wana uhakika wa point 3 ni kwa Coventry City ya Frankie LampardHakuna kipindi ambacho Manjesta ana nafasi kubwa ya kushuka daraja kama hiki
ili ubaki EPL unatakiwa walau uwe na points 40,sasa niambieni kwa Hali hii kila mechi kwenu fainal ,
Hizo points 40 mnazikusanya kwa nani ?🤣
Mjinga gani kwasasa yupo tayari kuachia point kirahisi kwa timu Ina Kiungo Santos na Baraba?
Hizo points 40 mnaweza kuzipata ila Damu zitawatoka
Tumeshajifia brotherWe are doomed!
Watu bana.Zamu ya nani leo............