Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manjesta yanited mwaka huu maji mtaita mma
HV8qm_SWMAAeAoa.jpg
 
Alafu ujue hiz picha kama masihara kumbe ndio serious wahuni wanapikezana vijiti tu😃😃

View attachment 3702599
Hapa tutafungwa sana. Kocha hana sense Yuri sio defensive middle Andrea hana capacity hiyo, kuacha kuwatumia bakeba na mainoo wacheze pamoja ili walimde backline na kuwasababishia wakina Maguire na Wenzie mabeki kupagaeishwa na mashambukizi ninkosa Sana. Akimuweka baleba na mainoo pamoja kwanza ataimaisha defense nzima, na kuwalisha washambuliaji. Yuri na mwenzio sio wakali kihivo. Mrithi wa casemiro ni baleba pekee na tena akawa mainoo. Na jingine kwa nn hawa watu hawawwchukui wachezaji kama casemiro kubaki kamakocha mchezaji msaidiz sehemu ya kiungo? Je ule mfumo haupo tena?
 
Back
Top Bottom