Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 54,577
- 133,172
Kwa moyaChuma 4 saafii 😄😄😄
Management yenu haina ambitious za kuwin Mataji ndio maana mnaokota wachezaji we si umeona Chelsea hata tuwe ovyo kiasi gani suala la kusajili wachezaji wa gharama tutasajili tu team yetu haishiriki michuano yoyote lakini angalia Usajili tuliofanya kama vile tuna michuano ya Ulaya kila eneo Kuna watu wawili wa maana kitu ambacho nilitegemea kingefanywa na Man u kwasababu mnashiriki michuano ya Ulaya. Mnaweza lamawa zote mkampa Carrick but reality mnawachezaji wengi wa mitumba kocha wenu alikuja na approach nzuri ya game kulingana na uchezaji wa Como lakini kilichowagharimu Quality yenu ndogo ni kama vile Como ni Barcelona anacheza na Dodoma Jiji mmezidiwa kila kitu by far na ubora wa mchezaji mmoja moja
Ndio maana tunawaambia muwe mnasajili vizuriBora hii nafasi angepewa Chelsea walah, huu ni ufala