Leo sijui watatoa excuse ipi maana imekuwa kila wakimkosa Baleba kwa mpira wanaopigiwa hapa sijui kama watakuwa na unafiki huo 🤣"Kariki angeanza msimu tungechukua kombe" 😂😂
Kwani Man u unaeijua wewe ikojeHii siyo Manchester United ninayoijua mimi
Pole sanaTunapigwa kama mbwa koko.
Timu haielewani kabisa.
Wanatupa sana stress dadeki zao
Hawamsajili wachezaji sahihi kwa Bei sahihi ndio maana wanapigwa hela ndefu kwa wachezaji wa kawaida we imagine unatoa pound mil 75 kwa Sesko halafu anakula mkeka kwa man u hii mbovuKwa wale mnaojua mpira kidogo,ivi hawa man u wana shida gani? Kama ni hela wanayo,sasa ni nini kinawasumbua
Wamemsajili mkaa benchi Sesko halafu wametoa pound mil 75 😂Shida sio ela, wanapigwa wananunua magarasa
Sio kwamba mazoezi hawafanyi we si umeona wajitahidi sana kupress na kukaba man to man sema walichozidiwa ni Quality ya wachezaji huo ndio ubaya wakusajili magarasaMazee ninauhakika hawa wachezaji huwa hawafanyi mazoezi. Na ikiwa wanafanya basi hayahusiani na mpira.
Ronaldo aliwahi kusema lakini watu wakampuuza wakasema jamaa ana ego.Management yenu haina ambitious za kuwin Mataji ndio maana mnaokota wachezaji we si umeona Chelsea hata tuwe ovyo kiasi gani suala la kusajili wachezaji wa gharama tutasajili tu team yetu haishiriki michuano yoyote lakini angalia Usajili tuliofanya kama vile tuna michuano ya Ulaya kila eneo Kuna watu wawili wa maana kitu ambacho nilitegemea kingefanywa na Man u kwasababu mnashiriki michuano ya Ulaya. Mnaweza lamawa zote mkampa Carrick but reality mnawachezaji wengi wa mitumba kocha wenu alikuja na approach nzuri ya game kulingana na uchezaji wa Como lakini kilichowagharimu Quality yenu ndogo ni kama vile Como ni Barcelona anacheza na Dodoma Jiji mmezidiwa kila kitu by far na ubora wa mchezaji mmoja moja
Kuna hoja ilianzishwa nikawa naichukulia simple ila now imeanza kunitafakarisha
Faida ya kusajili wachezaji wa maana inafanya hata kocha anaekuja asitumie nguvu kubwa kuwin Mataji ndicho sisi Chelsea kimetusaidia tunaweza kuwa na msimu mbovu lakini haiwezi kupita misimu miwili bila kuwin Mataji kipindi Mourinho yupo na msimu wake watatu ambao alifanya vibaya tulishika nafasi ya 14 ya Ligi wachezaji walikuwa na migomo alivyokuja Conte kakuta team ina Hazard, Diego Costa,Nemanja Matic, Oscar, Fabregas,Willian n.k yeye akasajili wachezaji wawili tu Marcos Alonso na Kante team ikabeba ubingwa.Sasa ukiangalia Man u ina maeneo mengi mno karibia team nzima inabidi kifanywe maboresho ndicho ambacho kocha ajae ataupata kwasababu mna magarasa wengi mno na mbaya zaidi hawahuzikiRonaldo aliwahi kusema lakini watu wakampuuza wakasema jamaa ana ego.
Haya kaja na Lesando Martinez karudia yale yale, tunaona aibu mpaka sasa hatujui tutaenda na hii hali hadi lini.
Kwasababu nacho kiona sasa hata ile nidhamu kwa wapinzani imetoweka ni kama kila mtu anapiga hesabu za kuvuna alama kutoka kwetu.
Nampenda Ronaldo km RonaldoAloo wewe ni shabiki wa Barcelona??
Mbona kama kwenye goat debate wewe uko kwa Ronaldo.
Imekuwaje tena ukashabikia Barcelona?
View attachment 3695696