Mwalimu wa tuisheni
JF-Expert Member
- Oct 19, 2019
- 8,730
- 15,588
Mkila matano weekend haimkuti Carrick ofisini
Raha ya kufungwa, mfungwe magoli makali, magoli yote mawili ni makali, hongereni nyumbu kwa kufungwa magoli makali tuu 🔥
Hapana, kikombe chenu lazima mkinywe
Acha kabisaHii timu inaongoza kuua mashabiki zake kwa presha sana asa ndo nini hiki
Muandalie carrik njumu awe anaingia mwenyeweTukandwe tu 🤣🤣🤣🤣
Aibu sanaMuandalie carrik njumu awe anaingia mwenyewe
Shida sio ela, wanapigwa wananunua magarasaKwa wale mnaojua mpira kidogo,ivi hawa man u wana shida gani? Kama ni hela wanayo,sasa ni nini kinawasumbua