Kumbuka mlimsajili Anthony kwa pound 100m, Pogba 85 shida sio kutoa pesa nyingi unatoa pesa kwa nani? Sisi tumemsajili Palmer kwa Pound 45 tu tena alikuwa benchi maker pale City angalia sasa anavyokiwasha, tumemsajili Mosses Caicedo kwa Pound 100 thamani yake ya Sasa ni zaidi ya hiyo tukimkosa tu unaona Kuna pengo, tukatoa pound mil 60 kwa Joao Pedro wakati kabla yake tumesajili strikers wengi wa Bei kubwa lakini wengi wameflop kama Lukaku kwa 95. Nimekutolea mfano hiyo uone wapo tuliwasajili kwa Bei ndogo na kubwa na wote wakatulipa nyinyi mnachokosa jicho zuri la kuona wachezaji issue hapo sio kutoa pesa nyingi unaweza ukatoa pesa nyingi akawa hafit mfumo wa kocha au akawa mbovuExactly huyu Carrick anaendelea kujifunza taratibu, Makosa lazima afanye hakuna namna, kinachohitajika ni kumpa wachezaji wenye profile sahihi na sio kumrundikia mizigo isiyoeleweka...
Tatizo linalokuja INEOS wanampa mzigo wote Carrick wakitegemea maajabu wakati mpira hauko hivyo sasa hivi, ili ushindane lazima uwe na jicho la kuona vipaji na kibunda kiwe mfuko wa shati...
Mgomo kwa wachezaji wale??? ebu kuwa serious kijanaEither wachezaji wanamgomo na kocha au kocha ana mgomo na maboss kwa kufundisha mbinu za kufungwa
Ukiachana na fact ya kuwa nyumbu hakuna team
Kubalini tu kwa Sesko mmepigwa huyo ni Kocha wa pili Sesko anaendelea kukaa benchi hujiulizi??Kwa jicho la haraka utagundua wachezaji wana mgomo na hari ya uchezaji imeshuka sana. Kwa mtazamo wangu nadhani matajiri wa timu wamechangia na m Carrick pia kachangia.
Ikumbukwe mwaka jana utd ilianza upya kusukwa kwa kununua wachezaji wapya hasa safu ya ushambuliaji na Amorim alifanya kazi kubwa sana ya kuwaondoa wazembe na wachezaji wasio na impact kwenye timu. Ule muunganiko wa Sesko, Mbeumo, Cuhna na Amad ulishafanya kazi vizuri tu na ulielewana. Leo INOES wakaamua kumrudusha Rashford haikuishia hapo Carrick naye kaamua kumuanzisha kikosi cha kwanza huku akiwaweka bench wachezaji waliomopigania msimu uliopita. Kikawaida tu nilazima wachezaji morali yao ishike kwa vyovyote vile.
Hao wachezaji sio wajinga. Ni nani asiyejua kuwa utd ilikuwa inaharibiwa na wachezaji kama Pogba, Martial na Rashford? Hawa wawili walishaondoka akabaki Rashford, alipokuja
Amorim akamhmuondoa eti leo Carrick anakuja kumuanzisha kikosi cha kwanza kila mechi kwa impact ipi aliyonayo?
Binafsi naamini utd hatutashinda mechi yeyote kuanzia sasa na hata tukileta kocha mwingine hatuwezi toboa shida yetu ni Morali ya wachezaji imeshuka sana baada ya baadhi ya wenzao kula bench ili muingereza acheze.
Huu unaweza kuwa msimu mbaya wa utd kuwahi kutokea na huenda tukashuka daraja ikiwa Carrick hata ongea na wachezaji wake na ikiwa hatomuweka Rashford bench. Kwa sababu ili Rashford aanze ni lazima kati Mbeumo, Cuhna au Seski aanzie bench hii inawakatisha tamaa kwa hawa vijana waliopigania timu.
Hakuna kitu. Mgomo ni kujikosesha magoli na vitu kama hivyo hawa mbona wakipata nafasi ya kufunga hawaachiUkiachana na fact kuwa nyumbu hawana timu.
Najaribu kufanya assumptions tu ila hyo statement yakwanza ndio hali halisi
Chelsea yenyewe ni Tia maji Tia maji hawana mchezaji mwenye consistency hata mmoja maybe kidogo Kwa mbali Caicedo. Timu isiyo na Identity kama Chelsea haiendi mbele, hatua moja mbele hatua kumi nyuma, ni sawa na united haina clear structure so inabeba Tu wachezaji kama kubahatisha...Kumbuka mlimsajili Anthony kwa pound 100m, Pogba 85 shida sio kutoa pesa nyingi unatoa pesa kwa nani? Sisi tumemsajili Palmer kwa Pound 45 tu tena alikuwa benchi maker pale City angalia sasa anavyokiwasha, tumemsajili Mosses Caicedo kwa Pound 100 thamani yake ya Sasa ni zaidi ya hiyo tukimkosa tu unaona Kuna pengo, tukatoa pound mil 60 kwa Joao Pedro wakati kabla yake tumesajili strikers wengi wa Bei kubwa lakini wengi wameflop kama Lukaku kwa 95. Nimekutolea mfano hiyo uone wapo tuliwasajili kwa Bei ndogo na kubwa na wote wakatulipa nyinyi mnachokosa jicho zuri la kuona wachezaji issue hapo sio kutoa pesa nyingi unaweza ukatoa pesa nyingi akawa hafit mfumo wa kocha au akawa mbovu
Kwa hiyo wewe kwa akili yako ujio wa Rashford na kuingia moja kwa moja kwenye kikosi unaona ni sawa yaani alazimishwe yeye kuanza right wing ambayo kiuhalisia hiyo ni number ya Cuhna kisha Cuhna aanze false number 9 na number 9 halisi Sesko aanxie benchi unaona ni sawa?Unazunguka tatizo badala ya kulisema.
Timu mbovu.
Sesko tangu asajiliwe anakaa benchi haiwezi kuwashangaza leo.
Maino ailkua anawekwa bench siku hizi anaanza kwanini wachezaji wasimpende kocha badala yake mgomo uje kisa Sesko? Ambaye kuanzia benh ni kawaida yake.
Na angalau Carrick anamuanzisha baadhi ya mechi.
Hii timu ni mbovu mkipata matokeo mnasahau ukweli. Kama umeangalia mechi ya jana na hitimisho ni wachezaji wana mgomo basi na mashabiki mnachangia hii timu kutoenda mbele
Kwa akili yako kabisa timamu ulikuwa unaamini Man U msimu huu anawania ubingwa????#Tielemans
'MIDO' ya Manchester United wanayoitegemea iwape kikombe chochote msimu huu 😆 nakumbuka hii 'MIDO' iliishusha daraja Leicester City na baada ya kuishusha mkataba wake ukaisha akagoma kuongeza kwasababu ya tetesi za magazetini kuwa Arsenal inamtaka kumsajili. Lakini Arteta akatupilia mbali 'MIDO' hii iliyokua ya bure, ikaenda zake Aston Villa ambapo Manchester United wakaona ndio 'MIDO' ya maana sokoni wakajifanyia 'SUPRISE' wenyewe kwa wenyewe
Wakaenda na Chelsea kuchukua Andrey Santos 😆 ila aisee kuna timu zimerogwa
Mpaka sasa msimu wa Manchester United umeshaisha, hawawezi kubeba EPL point nane wapo nyuma na bado wanakumbana na vipigo. Carabao Cup ndio byeBye hahahaha Uefa Champions League wabaki kuropoka 'TUNA UEFA' tu na FA Cup kuna Brighton bado
Kiufupi msimu wa Manchester United umeshaisha na sasa waingie studio kuimba kaWimbo kao kaKila msimu ".. ARSENAL HABEBI", Kwenye wimbo watasindikizwa na ndugu zao Chelsea
We jamaa mpira unajua kweli unataka kuniambia kuwa Palmer, Joao Pedro, Morgan Rogers hawana Consistency???Chelsea yenyewe ni Tia maji Tia maji hawana mchezaji mwenye consistency hata mmoja maybe kidogo Kwa mbali Caicedo. Timu isiyo na Identity kama Chelsea haiendi mbele, hatua moja mbele hatua kumi nyuma, ni sawa na united haina clear structure so inabeba Tu wachezaji kama kubahatisha...
Achani kupiga mdomo ndio inawacost mara nyingiUwezo wetu ndio umeishia pale na kwa upande wangu ligi nishamaliza nasubiri msimu ujao tu tutakuja na kitu gani kipya uwanjani
Lazima pia ujue msimu uliopita ni kwa sababu mlikuwa hamshiriki mashindano yoyote ya Ulaya kwahiyo nguvu kubwa mkawekeza kwenye ligi ndio maana mkafanikiwa kuingia big 4 Sasa hivi mnamashindano mengi, depth ya squad ni ndogo, Bruno Fernandes kachoka katumika sana World cup pia na umri unachangia na huyu akiwa kwenye ubora na Man u inakuwa kwenye ubora. Unaweza kutetea lakini Usajili mlioufanya sio wa kuimprove kikosi wachezaji mliowaleta ni wa kawaida na baadhi ya maeneo mmeshindwa kuleta kabisa watu kama LB, RB na Striker mmoja.Kwa hiyo wewe kwa akili yako ujio wa Rashford na kuingia moja kwa moja kwenye kikosi unaona ni sawa yaani alazimishwe yeye kuanza right wing ambayo kiuhalisia hiyo ni number ya Cuhna kisha Cuhna aanze false number 9 na number 9 halisi Sesko aanxie benchi unaona ni sawa?
Yaani kuna watu huwa ni waajabu sana mmoja wapo ni wewe. Ubovu wa timu upo wapi wakati tumeona timu hii hii msimu uliopita ilifanya vibaya chini ya Amorim kisha kulazimisha mfumo wake, akaja Carrick timu ikapaform vizuri na kufunga big six wote hadi kumaliza nafasi ya tatu.
Aliokuambia timu ikiwa na majina au usajili wa bei gali ndio inafanya vizuri ni nani? Kuna timu imefanya usajili EPL kama spurs? Je wapo nafasi ya ngapi? Hadi sasa kweny mechi tano za ligi na EFL wana goli moja.
Unachopaswa kuelewa ni kwamba wachezaji ni kama wanajeshi, huwezi kushinda vita au kupigana vita yeyote morali ikiwa chini. Na siku zote wachezaji huwa wanampambania kocha na timu, hilo unapaswa ulifahamu. Kitendo cha Carrick kusema yupo tayari kufanya kazi na Rashford hapo nilishajua anakwenda kuigawa timu. Narudia tena kusema kwa hali ilivyo sasa chini ya Carrick na uwepo wa Rashford utd hawatashinda mechi yeyote ile labda akae na wachezaji na akubali kumweka Rashford benchi.
Sesko kaanzia bench tangu anasajiliwa. Kwa Carrick ndiyo anapata minutes za kuanzaKwa hiyo wewe kwa akili yako ujio wa Rashford na kuingia moja kwa moja kwenye kikosi unaona ni sawa yaani alazimishwe yeye kuanza right wing ambayo kiuhalisia hiyo ni number ya Cuhna kisha Cuhna aanze false number 9 na number 9 halisi Sesko aanxie benchi unaona ni sawa?
Unaongelea timu ambayo ilikua inacheza mechi moja kwa siku 9. Ikawa inacheza counter zaidi na assists za set pieces za kapteni wenu. Huo mfumo wa Amorim ndiyo Brighton wamekupiga nao, ndiyo Milan unawaweka mjini Italy na sasa mnamtaka Conte, muumini wa mfumo huohuo. Punguza hasira dogo.Yaani kuna watu huwa ni waajabu sana mmoja wapo ni wewe. Ubovu wa timu upo wapi wakati tumeona timu hii hii msimu uliopita ilifanya vibaya chini ya Amorim kisha kulazimisha mfumo wake, akaja Carrick timu ikapaform vizuri na kufunga big six wote hadi kumaliza nafasi ya tatu.
Hakuna sehemu nimeongelea usajili. Mimi nimesema timu yenu mbovu.Aliokuambia timu ikiwa na majina au usajili wa bei gali ndio inafanya vizuri ni nani? Kuna timu imefanya usajili EPL kama spurs? Je wapo nafasi ya ngapi? Hadi sasa kweny mechi tano za ligi na EFL wana goli moja.
Hujui kitu wewe. Hakuna cha mgomo kisa Rashford wala nini, timu ilitembelea kupumzika muda mrefu na upepo wa Amorim kwenye utimamu wa kimwili.Unachopaswa kuelewa ni kwamba wachezaji ni kama wanajeshi, huwezi kushinda vita au kupigana vita yeyote morali ikiwa chini. Na siku zote wachezaji huwa wanampambania kocha na timu, hilo unapaswa ulifahamu. Kitendo cha Carrick kusema yupo tayari kufanya kazi na Rashford hapo nilishajua anakwenda kuigawa timu. Narudia tena kusema kwa hali ilivyo sasa chini ya Carrick na uwepo wa Rashford utd hawatashinda mechi yeyote ile labda akae na wachezaji na akubali kumweka Rashford benchi.