Manchester United (Red Devils) | Special Thread

INEOS hawana kichaka sasa cha kujifichia kmmke, licha ya ubovu wa Carrick lakini INEOS kuchukua hii timu ni laana nyingine kabisa, in short ni kwamba United imekwenda kuwa the likes of zilipendwa, hakuna Usajili wowote timu iliyofanya...

Omar Berrada na Jason Wilcox waachie timu maana ni aibu na takataka tupu inayoonekana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…