Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Timu kubwa kuliko uwezo wao.
 
Sio kwamba Hana uwezo wa kuzifungua team za low block Bali Hana Quality players wakufanya hivyo hivi mkuu ukimtoa Mbeumo una nani pale mbele wa maana
Timu haina haraka, Timu za Aina Ile huhitaji kuwa na Top quality wengi ili uwafunge, inahitaji tactics za kufanya timu itembeze mpira Kwa haraka maana kama ni kucheza kwenye tight space United ina baadhi ya wachezaji wanaoweza kucheza hivyo,...

Carrick kaingia 4-2-3-1, ambapo Cunha ndo alisimama Juu , muda mwingi Cunha alikuwa anashuka Sana sasa Kwa Hali hiyo Utawezaje Ku stretch back five ya wale Jamaa?, angalie kitu kingine wale Jamaa walitujazia viungo Kati wakambana Bruno ambaye ndo play maker, yaani hata nje unaona kabisa Carrick kachemka kabisa...
 
Brother nasikitika kusema uelewa wako kwenye nyanja ya football ni mdogo sana.
Mkuu Benjamin Sesko msimu wake wa mwisho RB Leipzig kacheza mechi 33 goals 13 na Assist 5 na ndio msimu wake Bora ana takwimu kama hizi tena ligi nyepesi kama Germany ambako wakina Timo Werner, Christopher Nkuku wametoka na takwimu Bora mara dufu ya Sesko na wamekuja England na wamefeli. Scouting yenu imeyumba kwenye kuselect striker mzuri, haya kwenye msimu wakewa Kwanza Man United kacheza mechi 30 kafunga goals 11 assist 1 kwa hizi takwimu zake huyu striker ana majabu gani? Kazidiwa hadi Danny Welbeck mwenye miaka 35 ambaye kafunga goals 13 Assist 1
 
Flano ligi imeanza mkuu....ULI relax sana mda wa makasiriko umerudi....Manunu mpk mwzi wa 12 ndo tutajua kama mnagonbea top 4 au mnagonbea top 10
🤣🤣🤣 Hakuna rangi tutaacha kuona, kweli Manjesta inachekesha kama sio timu yako.
Hakuna kitu inanaiuma na imenikosesha kabisa hamu ya Mpira kwa Arsenyau kubeba kombe kwa dhulma, yaani timu haipati points 3 mpaka wapate mipira ya kona halafu wamsongesonge kipa ndio wapate goli.
 
Flano ligi imeanza mkuu....ULI relax sana mda wa makasiriko umerudi....Manunu mpk mwzi wa 12 ndo tutajua kama mnagonbea top 4 au mnagonbea top 10
🤣🤣🤣 Hakuna rangi tutaacha kuona, kweli Manjesta inachekesha kama sio timu yako.
Hakuna kitu inanaiuma na imenikosesha kabisa hamu ya Mpira kama Arsenyau kubeba kombe kwa dhulma, yaani timu haipati points 3 mpaka wapate mipira ya kona halafu wamsongesonge kipa ndio wapate goli.
Arsenyau mmeinajisi Epl kiasi kwamba imepoteza mpaka mvuto.
Mbuzi katoliki nyie.
 
fuentte Bagabeach Mr Mike NtYga nilisema kipindi cha nyuma. "Njia zote zinaelekea kwa baleba."
ulIkuwa sahihi mkuu na wamenikosha sana, sema nikikumbuka hatuna Backup ya LB na hii Stricking Force yetu ya Sèsko na JZ naona Bado hari ni Tete sema naona Balde Barca wanamwachia sijajua Dogo anashida gani tusije kubeba kiraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…