Barca dharau nyingi sana wanashindwa kumbeba Bwana mdogo kwa Euro 30mHapo kama rashford,ugarte, na zirkee wakiuzwa, pia nimesikia fernabache wanataka kumnunua mason greenwood na hapo pia kuna share ya Manchester United, hivyo 100m itaongezeka na pia tunaweza kupata angalau beki ya kushoto na stricker.
Itakua wanataka apunguze mshahara.Barca dharau nyingi sana wanashindwa kumbeba Bwana mdogo kwa Euro 30m
Anajua kitakacho mpata baada ya kupunguza mshahara na kutua Barca sizani kama atapata Game time za kutosha kama msimu uloisha.Itakua wanataka apunguze mshahara.
Nini kitampata akipunguza mshahara. Lakini kwa raphina na Gordon huenda asipate kabisa game time za kutosha.Anajua kitakacho mpata baada ya kupunguza mshahara na kutua Barca sizani kama atapata Game time za kutosha kama msimu uloisha.
Kitendo cha kumchukua Gordon wakati una Rashford ilikuwa ni ishara kwamba aidha hawajaridhika na utendaji wa Rashford au hafai kwenye mfumo wa tiktak wanauopemdelea Barca.Barca dharau nyingi sana wanashindwa kumbeba Bwana mdogo kwa Euro 30m
Mkuu King faisal kama bado unakumbukumbu sawa, binafsi simkubali Rashford kama winga wala Striker. Sababu moja kubwa ni kuwa jamaa hana skills nyingi hasa 1v1, ana mbio nzuri na anaweza kujiposition vizuri ila end product yake ni mbovu sana, uvivu au shibe ya mafanikio tayari anayo hivyo hatutegemei Rashford kuongeza jambo kubwa chanya pale manchester.Nini kitampata akipunguza mshahara. Lakini kwa raphina na Gordon huenda asipate kabisa game time za kutosha.
Mkuu umemaliza kabisa, Rashford hana kipaji cha kuichezea Barca wala timu nyingine kubwa tofauti na United inayoendekeza Uingereza kwenye sajiliMkuu mchezaji wetu haendani na falsafa ya Barcelona..
Kwa umri wangu, wachezaji wa England ambao wangeweza kucheza Barcelona Kuna
Michael Carrick
Ashley Cole
Rio Ferdinand
Kayle Walker
Wayne Rooney
James Madison (asiyeumia)
Jack Wilshere(asiyeumia)
John Stones
Na wengine wa aina hiyo..
Rash kipaji ni Cha kawaida kabisa..Aliitaka Barcelona kulko ilivyomtaka..sasa wamepata mtu wao Rash aende kwengineko
Mkuu unachosema ni kweli kabisa rashford, anakupa furaha ya mda mfupi sana, alafu anakukela vibaya sana. Mie naomba tu Barcelona, au hata saudia wamchukue. Hua napenda sana kauli ya Luis enrique wa psg kwamba ni bora uwe na mchezaji hata kama hafungi lakini Anakuwa na mchango mkubwa sana kwenye timu.Mkuu King faisal kama bado unakumbukumbu sawa, binafsi simkubali Rashford kama winga wala Striker. Sababu moja kubwa ni kuwa jamaa hana skills nyingi hasa 1v1, ana mbio nzuri na anaweza kujiposition vizuri ila end product yake ni mbovu sana, uvivu au shibe ya mafanikio tayari anayo hivyo hatutegemei Rashford kuongeza jambo kubwa chanya pale manchester.
Kuna kipindi hadi nikawa najiuliza kwanini Son anacheza Spurs (msinambie habari ya bei), Mitoma anacheza Brighton halafu kwetu yupo Rashford.
Dogo kanuna kafuta kwenye Bio neno Barca 😄😄 si aliitaka Barca acha wamwonyeshe Radha ya usaliti ikoje.Kitendo cha kumchukua Gordon wakati una Rashford ilikuwa ni ishara kwamba aidha hawajaridhika na utendaji wa Rashford au hafai kwenye mfumo wa tiktak wanauopemdelea Barca.
Kiasi flani suala la mshahara linaweza kuwa kikwazo kingine dili lake kutokuwa sawa pale.
Kusema kweli sala zangu ni barca wafanikiwe kumbakisha hata kwa mkopo tena ili asipate nafasi ya kurudi Utd.Dogo kanuna kafuta kwenye Bio neno Barca 😄😄 si aliitaka Barca acha wamwonyeshe Radha ya usaliti ikoje.
Wachezaji ni binadamu pia, Kuna nyakati wanaongozwa na hisia kulko uhalisia.. Barcelona ijayo hata nafasi ya benchi ni mara chache..bado wameonesha wazi hawamtaki..Kusema kweli sala zangu ni barca wafanikiwe kumbakisha hata kwa mkopo tena ili asipate nafasi ya kurudi Utd.
Maana kwa Uingereza wake pale kwetu watamchukulia wa thamani sana halafu atatuvurugia timu iliyoanza kutengemaa.
Makande hayaUNited itabeba ubingwa kabla ya aseno
Ratiba nzuri sana..sijaona mwezi mgumu kwa timu yetu..
Mkuu tuombe iwe hivyo maana arsenal kashatoa gundu la kutokubeba EPL kwa mda wa miaka 22. Sisi imepita miaka 13 sasa tokea tubebe kipindi cha babu ferguson 2012/2013.Ratiba nzuri sana..sijaona mwezi mgumu kwa timu yetu..
Pass Master, Fundi wa mpira ajiangushe na kutuangusha mashabiki zake..
Ruben aliamua kushikilia anachoamini hata wakati ambao mwenyewe aliona hayupo sahihi..
Kila la Kheri Manchester United 2016/27..
Natumai tutavaa jezi ya ubingwa🙏
Hii ratiba imekaa poa sana mkuu, hasa ukizingatia tuna maingizo mapya kadhaa katika kujenga chemistry ya wachezaji uwanjani tutacheza bila presha za big match wakati tunajitathimini