Nilishaga sema na kama sijawahi kusema humu ila naomba mtambue kila Mechi akiingia ugarte iwe tunaongoza ama tuko suruhu lazina Tufungwe fuatilieni mimi nalala.
Title contenders kimewalambaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£, gepu la pointi 6 na anaeongoza Ligi, Ubingwa mna kazi nayo
Mji utatulia kidogo kelele zitapungua!!
"Honeymoon is over"
Wakati wenzenu wanacheza mechi 2 Kila wiki, nyinyi mna game Moja au msicheze kabisa. Halafu mnaenda kufungwa na timu ipo pungufu. Hivi nyie mna akili kweli