Chama Lina hamasa.Chama limeanza kurudi kwenye enzi zake sasa.
Mdogo mdogo heshima inaanza kurudi.
Huyo jamaa kosa lake lilikua mfumo wake tu 352 ulikua mfumo wa kipuuzi sana, na laiti tungeendelea kumchekea angetushusha daraja.Chama Lina hamasa.
Sema amorin alijitahid kweny usajili na pia katufumbua umuhimu wa kusajili ndani ya EPL
Chama Lina hamasa.
Sema amorin alijitahid kweny usajili na pia katufumbua umuhimu wa kusajili ndani ya EPL
AmnaChama Lina hamasa.
Sema amorin alijitahid kweny usajili na pia katufumbua umuhimu wa kusajili ndani ya EPL
Naona hamasa ni kubwa kwenu, mkiendelea hivi mnaweza kuingia Top 4 ili mwakani mkacheze UEFA champions leagueBado naiona nafasi pale juu
Red Card?Wazenge mmeanza kubebwa
Wanangu mpo on fireRed Card?