Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tumeshatombwa kimoja...burney anaenda kusafisha dudu anarudi tena raundi ya pili ...endeleeni kuwakumbatia waingereza
 
Tumeshatombwa kimoja...burney anaenda kusafisha dudu anarudi tena raundi ya pili ...endeleeni kuwakumbatia waingereza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hivi wamiliki wa Manchester United wana akili kweli? Wamemfukuza Ruben kwa sababu ipi? Aisee mie na hii club ndio basi sasa.
Nikikuwaga nasikia Wamiliki wa Man U wanamatatizo ya akili na nilibisha Sana ila kwa Amorim wame prove kuwa wao ni TakaTaka 🤦‍♂️.

Acha wachakazwe mpaka akili ziwasogee wajawa Tamaa hawa.
 
Nyumbu leo ndio mnaaga mashindano ya FA. Asanteni kwa kushiriki
 
Pamoja na kupangiwa kikosi cha kizenge bado mmepigwa? Nyinyi ni takataka
 
Kiko wapi sasa, niliposema kufukuzwa kwa amorim yalikua makosa makubwa ndio hivi sasa. itapendeza vipigo viendelee hivi hivi, tena mancity ajipigie hata 7 pale old Trafford. Ety kocha fletcher,ole na Carrick time will tell. Glazers na Ratcliffe ni wamiliki wapuuzi wanaongozwa na hisia bila kutumia akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…