Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sema Yoro mngese Sana, hata kama ni beki mdogo kiumri lakini kuna vitu basics vya kufanya, sasa Rogers kamponyoka kipuuzi tena mara mbili, huyu anazingua! Kazi kukimbiza virasta vyake kama kuku wa kideri, hajifunzi kabisa kufanya timing...Sema kuna aspects zinaimarika, toka msimu umeanza Leo matokeo kwa kiasi Fulani nimeyakubali na yale ya Arsenal.
 
Ruben anasema timu bora haijashinda ila atahakikisha mnashinda mechi ijayo.

Nikacheki ni mechi gani nikakuta ni dhidi ya Newcastle.
Huo ni msiba mwingine kwa nyumbu

Yule anaesema "naiona nafasi pale juu" naona amechukua kijiti cha allypipi. Coz tangu aanze kutoa hiyo kauli ni misiba tu
 
Ruben anasema timu bora haijashinda ila atahakikisha mnashinda mechi ijayo.

Nikacheki ni mechi gani nikakuta ni dhidi ya Newcastle.
Mbaya zaidi kwake, Bruno hatakuwepo.
Ngoja tuendelee ku fight relegation tu kwa msimu huu pia.
 
Tuna takataka kibao, yoro mbona kama anachuja...apigwe benchi kdg Bado mdogo 19 yo ajifunze na kukua..

Mateso mengine ni dhidi ya Newcastle, inabidi tuwe vizuri kupata ushindi hasa eneo la mbele, na beki
 
Wachezaji wakiafrika wa Man UTD wamezibeba nchi zao katika mechi za ufunguzi za Afcon Morocco Kwa kufunga na kutoa assist, Mbeumo na Anmad Diallo
 
Back
Top Bottom