Mcmillan de Maghayo
Senior Member
- Dec 6, 2025
- 197
- 435
Kwemaa mkuu?I hav bad feelings na hii Game na Bournemouth
Nyumbu kama mnaenda kifa hivi
Kwemaa mkuu?I hav bad feelings na hii Game na Bournemouth
Nyumbu kama mnaenda kifa hivi
Ulitaka awe naniNyie kenge kweli star eti dialo mnachekesha sana
Mtamaliza nafasi ya 15 tena bado utakuja na hii hii kauli 😂Bado naiona nafasi pale juu
Bado naiona nafasi pale juu wakuuMtamaliza nafasi ya 15 tena bado utakuja na hii hii kauli 😂
Na leo ni fainalihii timu ni kama uyoga 😊
HApa ungemtag Arteta. Mashabiki tunajua changamoto yeye ndiye hajuiLeo tunawafundisha arsenal namna ya kucheza na Villa.
Karibuni sana ndugu zetu Castr arsenal2004 hamis77 na wengineo mjifunze namna ya kucheza na Unai.
Hivi allypipi yupo?Leo tunawafundisha arsenal namna ya kucheza na Villa.
Karibuni sana ndugu zetu Castr arsenal2004 hamis77 na wengineo mjifunze namna ya kucheza na Unai.