Licha ya kwamba tuna mengi ya kuboresha, positively tumekomaa na tumeondoka na ushindi, hiki ni kitu muhimu Sana Kwasasa kwenye hii timu yote, hii itaongeza kujiamini.
Ningeshangaa Sesko angeanza Leo, wangetuvuruga vibaya pale katikati. Mount ni mchezaji very flexible changamoto Yake ni majeruhi na kukata Moto baadae, Jamaa anatusaidia Sana.
Kusema kweli Kila timu imekosa nafasi za wazi, ninachokiona kuna wachezaji bado kama vile wanakuja halafu wanakataa...