Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kiuhalisia kabisa mkuu nawaonea huruma...yaani hata kuwasema ntakosa ile PAWA....mfukuzeni kocha chukueni kile kibabu Cha Nottingham forest kwa mpito msimu huu...mnaweza kuambulia kitu....ila mkikaza shingo hakyanani Kuna siku zile saba za Livakuku mlizodundwa zitajirudia na nyongeza ya magoli engine juu....mna Hali mbaya majirani....Sesko mmefanya nn yule mtoto....pale kwny klabu yenu ni kama Kuna jini mahaba hivi.....wachezaji wakija pale yaani ile PAWA inawaisha kabisa
 
Amoringo ni kocha mzuri, ila shida yake ilianza mara tu alipoona Man Utd inamtaka basi akajiona yuko kwenye level za kina Pep Guardiola.
Mwamba anajifanya haambiliki wala hashauriki, kwa kibri chake tayari amesha paraganya dressing room, sasa hivi akiongea kuna wachezaji wanaweka Earphone masikioni hawataki hata kumsikia wanamuona anawapigia kelele tu.
Mwamba asipokubali kubadilika na kuweka ego yake pembeni Chrismass itakumkutia nyumbani kwa kina Vasco Dagama.
 
We dodged a bullet with Sesko. Thank you Andrea Berta.

Gyokeres game mbili goal mbili
 
dakika za jioooni bonge la dada akawaangusha
 

Attachments

  • 1754333153457.jpg
    650.3 KB · Views: 7
Sesko sio proven striker msimu wake Bora ni msimu uliopita Tena kascore goal 13 tu. Ni mchezaji ambaye anahitaji muda zaidi ili awe proven kiumri ni mdogo ambaye anahitaji kujifunza zaidi bahati mbaya kaenda kwenye team ambayo ipo disorganized na pia muda haumsubiri
 
Na kwa hali inavyoenda atapata pressure ya mashabaki na wachambuzi ambayo inaweza vuruga zaidi.
 
Benjamin Sesko, one of the foolest players I ever seen. kuwakacha Newcastle United na kwenda Manjesta ni upumbavu usiopimika, au anajionaje kwamba yeye anaweza kumatch hata kiwango cha Cristiano toleo la mwisho mwisho. Sir. Alex Ruben Amorim nayeye anajikuta level za Pep ila niko pamoja na yeye hadi nyumbu washuke daraja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…