nyie jamaa mmewapa man utd matumain makubwa sana ila kiukweli hii timu ina shida 3-5 nzito
1 bruno
2 hakuna Dm bora hapo kati ni makida makida tu
3 hakuna chemistry in attack wako wako tu itawachukua muda sana ku settle
4 kipa aisee
5 kocha ni mbishi hataki kuwa flexible kubadili formation itakuja kum cost timu inacheza hairidhishi hata
Ni kweli tatizo linaweza kuwa sio mfumo ila timu yetu inakosa balance hapa lazima moja kati ua Cuhna au Bruno awe anaanzia bench au Brino asepe af kocha aache kunanzisha Mount huku straiker anaaznzia bench.Hapana. Huu mfumo ndo wenyewe Sasa.
Huu ndo Conte alibeba EPL 16/17
A stick na mfumo, uta click tuu mbele kwa mbele
Hiki ni kikundi Cha watu machachari sio timu ya mpira....yule Cunha ni mtu wa Karate na shehe Mbeumo yy ni Mzee wa mizuka😀😀...Sesko ameenda rasmi kuangamiza kipaji chake....Bora angejiendea Nyukesto maskiniAisee hii timu ni mbovu kiseng hata kupiga pass ni nzuri ni shida sijui ilikuwaje mkawa manaisifia siku aliyocheza na arsenal au wale jamaa walijua ni pre season bado
Msimuangushie kocha lawama. Hata huyu Bruno pia ni zaidi ya hasara kwanza leo kawakoseha ushindi. Mechi ya leo ilitakiwa kuleta matumaini kwenu na si vingenevyoHapo kwenye ubishi wa kocha nadhani ndio kitu kitakachomtoa pale united kabla ya Christmas. Timu inatia aibu na huruma kuitazama.
Wachezaji wanajaribu kupeanapeana mipira, wakiona wamekabwa kidogo wanarudishiana mpira nyuma na wanaogopa kwenda mbele. Hakuna mipango, hakuna mbinu za kwenda mbele,
Poleni sana wazee ndio ukubwa huoNipo ila tumekuwa wachunguliaji zaidi
Hata akianza anafanya Nini? Sesko ni average playerSesko ameenzia benchi tena, alisajiliwa wa nini sasa kmmk
Wanavyomzungumzia ni km vile alivyoingia alifanya kituHata akianza anafanya Nini? Sesko ni average player
Sesko ni average player na ligi ya uingereza inahitaji mchezaji ambaye Yuko fiti kwa asimilia 100 ingekuwa ametoka EPL ingekuwa ni rahisi kuadapt mnamuonea bure kocha kwenye hiliHuu mpira wa kisasa umekuja kuwa wa kingese kweli... mchezaji anasajiliwa zaidi ya wiki mbili anafanya training halafu anaanzia bench kmk.
Wiki ya kwanza ukiuliza unaambiwa fitness, gameweek 2 yupo tena bench... utaambiwa anazoea mfumo wa kocha.
Mpira umekuja kuwa na ungese-ungese sana, details nyingi halafu uwanjani hamna kitu.
Striker ni moja ya position sioni utofauti kwenye majukumu yao, ila ungese wa modern football mpaka striker ameongezewa majukumu.
Kuna wanafiki humu duniani sijawahi ona 😂😂😂😂Hapana. Huu mfumo ndo wenyewe Sasa.
Huu ndo Conte alibeba EPL 16/17
A stick na mfumo, uta click tuu mbele kwa mbele
Wakichezaga na team kubwa huwa wanajifanyaga kukazaMechi ya Arsenal hawa Manure waliuma meno tuu..litimu bado lipo lipo
RB Leipzig wamewapiga hela kwa kweli si Bora hata hiyo hela wangetoka kwa yule kiungo wa BrightonWanavyomzungumzia ni km vile alivyoingia alifanya kitu