King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 2,314
- 5,988
Mkuu nilikuambia bila set pieces nyie hamshindi.Majirani, hongereni kwa mchezo mzuri wa jana. Ushabiki nikiweka pembeni jana mlikua vizuri kwenye kila eneo, ata goli tulilopata ni lapapatu papatu tu
Timu mnayo, amorim ashindwe yeye tu. Unapokua na watu like cunha, mbeumo, sesko moja kwa moja watu watataka matokeo
Usajiri wenu umeonesha impact for 90%, mazee timu mnayo
Jambo ambalo arsenal ashukuru ni kumalizana na nyumbu OT kabla gari halijawaka vizuri
Cunha sesko mbeumo mkienda vizuri na hii front line bila majerui, itakua hatari sana msimu huu
Ukiona kipa ndio man of the match, ujue hali haikuwa shwari[emoji2][emoji2]
Nimejionea mwenyewe, nawahurumia man shit, liverpunda na zile beki zao mbovu, na Chelshit kikundi cha wahuniMkuu nilikuambia bila set pieces nyie hamshindi.
Kakopi na kupaste kutokea wapi huyuTupate Darasa kidogo kutoka kwa Geoffrey lea
Kwenye mpira mfumo lazima uwape wachezaji wa kila nafasi faida kulingana na kile wanachoweza kukifanya kwa ubora katika majukumu yao, lakini pia mfumo unatakiwa kuwarahisishia wachezaji wanachofanya uwanjani na sio kufanya kazi yao kuwa ngumu zaidi!!!
Kwa sababu Amorim anaanza mechi na 6 defensive minded players tena bila point of play kwenye attack (jinsi alivyoanza bila mshambuliaji asilia) maana yake timu inawatesa sana wachezaji kama Matheus Cunha na Bruno kwa jinsi ambavyo anaanzia chini sana kama mmoja wa wachezaji wawili wa kiungo
Hizi picha 3 hapo chini zinaonyesha jinsi Cunha alivyolazimika kuanzia safari yake mbali bila Teammate Karibu ambaye wangesaidiana either pasi au kuwaoccupy mabeki na kutengeneza njia nyepesi ya kupita lakini angalia amezungukwa na wapinzani wangapi,
Matokeo yake Cunha na Mbeumo walilazimika kutumia sana uwezo binafsi kushambulia kwa sababu mfumo haujawasaidia,
Katika mfumo kama wa 4-3-3 au 4-2-3-1 mbeumo cunha na Bruno watakuwa wanaanzia karibu na goli na kuspend muda mwingi wa mechi karibu na final third, Changamoto kubwa ya Amorim ni hii hata zile nafasi za kipindi cha kwanza zilikuja kutokana na uwezo binafsi zaidi kuliko mfumo.
Tofautisha na Arsenal ambao walikuwa wakishambulia wana options mbili au tatu kwa jinsi timu ilivyopangwa, System ya Amorim haiwezi kufanya kazi kwenye EPL tena especially dhidi ya Timu ndogo ndogo ambazo zinajua kucheza kwenye low block na kushambulia kwa counter. View attachment 3445096View attachment 3445097View attachment 3445098
We hujui waliochangia CCM wengine ni juhudi za Allypipi.Ally papi tapeli sana si alisema aseo watapata moja wao matatu sasa matatu ya manyumbu yako wapi?
Lukebakio ni winger.Lukebakio yupo vzr zaidi ya fernandez
Geoff Leah huwa ana chuki na Amorim kisa wachezaji wake anaowapenda akina Rashford kutopewa nafasiTupate Darasa kidogo kutoka kwa Geoffrey lea
Kwenye mpira mfumo lazima uwape wachezaji wa kila nafasi faida kulingana na kile wanachoweza kukifanya kwa ubora katika majukumu yao, lakini pia mfumo unatakiwa kuwarahisishia wachezaji wanachofanya uwanjani na sio kufanya kazi yao kuwa ngumu zaidi!!!
Kwa sababu Amorim anaanza mechi na 6 defensive minded players tena bila point of play kwenye attack (jinsi alivyoanza bila mshambuliaji asilia) maana yake timu inawatesa sana wachezaji kama Matheus Cunha na Bruno kwa jinsi ambavyo anaanzia chini sana kama mmoja wa wachezaji wawili wa kiungo
Hizi picha 3 hapo chini zinaonyesha jinsi Cunha alivyolazimika kuanzia safari yake mbali bila Teammate Karibu ambaye wangesaidiana either pasi au kuwaoccupy mabeki na kutengeneza njia nyepesi ya kupita lakini angalia amezungukwa na wapinzani wangapi,
Matokeo yake Cunha na Mbeumo walilazimika kutumia sana uwezo binafsi kushambulia kwa sababu mfumo haujawasaidia,
Katika mfumo kama wa 4-3-3 au 4-2-3-1 mbeumo cunha na Bruno watakuwa wanaanzia karibu na goli na kuspend muda mwingi wa mechi karibu na final third, Changamoto kubwa ya Amorim ni hii hata zile nafasi za kipindi cha kwanza zilikuja kutokana na uwezo binafsi zaidi kuliko mfumo.
Tofautisha na Arsenal ambao walikuwa wakishambulia wana options mbili au tatu kwa jinsi timu ilivyopangwa, System ya Amorim haiwezi kufanya kazi kwenye EPL tena especially dhidi ya Timu ndogo ndogo ambazo zinajua kucheza kwenye low block na kushambulia kwa counter. View attachment 3445096View attachment 3445097View attachment 3445098
Geoff Leah huwa ana chuki na Amorim kisa wachezaji wake anaowapenda akina Rashford kutopewa nafasi
Kenge wahed.duh!, Kudaadeki kumbe pale ndo mumecheza vizuri.. chey chey I don want peace I want problem always
De gea anarudiManyumbu team mnayo kazeni hapo hapo swala la golikipa lisiwatoe mchezoni kumbukeni hata chelsea hatuna kipa tuna pazia sanchez ila hatulalamiki.
Hawa ndo wanaotia laana kwenye hii timu, Yani tuna struggle kumbe kuna watu wanasotea hii badge ya united uchi wa mnyama kabisaaa...
Ni kweli kabisa ila eneo la kiungo ni muhimu kuliko maeneo mengi sana waliyoyaimarisha msimu huu.Sene lammens kabla ya weekend kuisha atakuwa new goalkeeper wa man united.
Hapo tutamalizia na kiungo afu tufunge dirisha.
Ruben inabidi awe makini sasa hii back up aliyopewa na ineos imemfaa.