Si furaha kwenu, ama?Yeye na sesko wapo daraja moja Kama mlikuwa mnataka striker mzuri wa uhakika mngeenda kwa Osimen au isak huyo Sesko Hana consistency performance game chache atafanya vizuri zingine ataharibu mmetumia pesa nyingi kwa mchezaji wa kawaida
Bruno anacheza out of positionPale kati hakuna kitu atleast maino alivoingia.
Baleba mleteni tu.
Hawa akina casement na bruno wake kwenye hio cm ni uongoooo
Ningekua nashabikia nyumbu halafu akasajiliwa Onana na Casemiro ndiyo siku ningeacha kufuatilia nyumbu.Usajili wa madueke umefanya hadi Castr Apotee kwenye jukwaa la Netflix arsenal.
Mimi naongelea kimpira si kimapenzi we umeona nimemuongelea vibaya Gyogerez kwenye ile game yake ya Kwanza alivyocheza ni kwasababu Kuna daraja kalitengeneza ndio maana ilikuwa ni mapema kumkosoa Sasa huyo Sesko ni daraja lipi kalitengeneza lakufanya uwe na matumaini naye makubwa ndipo ambapo ninawashangaa mashabiki wa man uSi furaha kwenu, ama?
Sterling akacheze wapi huyo mzee?Nani akupe 50M kwa Garnacho? Hapo ni Butter trade Sterling na Garnacho.
Technical director wanajua wanachokifanya.Mimi naongelea kimpira si kimapenzi we umeona nimemuongelea vibaya Gyogerez kwenye ile game yake ya Kwanza alivyocheza ni kwasababu Kuna daraja kalitengeneza ndio maana ilikuwa ni mapema kumkosoa Sasa huyo Sesko ni daraja lipi kalitengeneza lakufanya uwe na matumaini naye makubwa ndipo ambapo ninawashangaa mashabiki wa man u
brother tafadhali huyo jamaa Mbeumo ni mwanaume mwenzetu usimfanyie hivyoKumekucha Kumekucha huko nyumbu muda wa lawama umefika sasa timu ina laana hii
View attachment 3437802
hapo sasa eeeh!, Chelsea biashara wamezowea aisee. kule Barca mliwaambia Nkunku kwa Fermin LopezNani akupe 50M kwa Garnacho? Hapo ni Butter trade Sterling na Garnacho.
Hao hao si ndio waliomsajili woghost na AnthonyTechnical director wanajua wanachokifanya.
Mchezaji ni kamali.
ChechecheπππππππHao hao si ndio waliomsajili woghost na Anthony
Hao technical director wao ni binadamu huwa wanakosea usiwaamini moja kwa mojaChechecheπππππππ
Hapana β Antony na Wout Weghorst hawakusajiliwa chini ya uongozi wa sasa wa INEOS au Omar Berrada ( CEO) from man city.
Jason wilcox ( technical director) kaja mwaka huu mzee baba.
Hao ulio wataja ni uongozi uliopita ambayo kwa sasa walishaondoshwa.
Basi ndio tunazungumziaHao technical director wao ni binadamu huwa wanakosea usiwaamini moja kwa moja
Kipa kiungo is backπππ
pazia lishawekwa kiraka tayari kuwekwa langoni. Ngoja uone mkorea aje atuambie Nyokores atamuweka ngapi
Aah pole sana Castr mnakocha Fala sana hivi hata kudus kweli hakumuona mpaka kuchuku winga kama winga madudueke. Kushabikia arsenal Netflix ni raha sana.Ningekua nashabikia nyumbu halafu akasajiliwa Onana na Casemiro ndiyo siku ningeacha kufuatilia nyumbu.