Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Si furaha kwenu, ama?
Mimi naongelea kimpira si kimapenzi we umeona nimemuongelea vibaya Gyogerez kwenye ile game yake ya Kwanza alivyocheza ni kwasababu Kuna daraja kalitengeneza ndio maana ilikuwa ni mapema kumkosoa Sasa huyo Sesko ni daraja lipi kalitengeneza lakufanya uwe na matumaini naye makubwa ndipo ambapo ninawashangaa mashabiki wa man u
 
Technical director wanajua wanachokifanya.
Mchezaji ni kamali.
 
Hao hao si ndio waliomsajili woghost na Anthony
Checheche😂😂😂😂😂😂😂
Hapana — Antony na Wout Weghorst hawakusajiliwa chini ya uongozi wa sasa wa INEOS au Omar Berrada ( CEO) from man city.
Jason wilcox ( technical director) kaja mwaka huu mzee baba.


Hao ulio wataja ni uongozi uliopita ambayo kwa sasa walishaondoshwa.
 
Hao technical director wao ni binadamu huwa wanakosea usiwaamini moja kwa moja
 
Hao technical director wao ni binadamu huwa wanakosea usiwaamini moja kwa moja
Basi ndio tunazungumzia
Kamali, kwani wakati mnamsajili jackson si mlikuwa na matumaini atafanya vizuri then what?
Vipi sesko akija huku akafanya vizuri?
Kwasabab bado umri una ruhusu?

Tunarudi pale pale kila kitu ni kamali.
 
Sasa mkuu, kweli kabisa wewe unafahamu zaidi kuliko timu ya ufundi ya United? Wewe unatumia video vipi vya kitaktiki kusema hivyo? Unajua timu ya ufundi imeanza kumfuatilia Seśko toka lini? Yaani nikusikilize na kukuamini wewe kuliko timu ya ufundi ambayo ina rasilimali na muda wa kutosha wa kuskauti wachezaji.

Acha masikhara aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…