Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chelsea haiwezi kutoa 50 kwa Garnacho hiyo sahau
 
Mkataka mtuuzie 100 m yule michael jackson?
Sisi kazi yetu ni kupiga sio kupigwa ila niwe honest kwangu Jackson namuona ni Bora kuliko huyo Sesko ila Hana hiyo thamani shida ya Jackson ni kufunga magoal basi ila sio kwamba hafungi msimu ulipita kufunga 14 huwezi kumfananisha na mchezaji aliyefunga goal 13 kwenye ligi nyepesi Kama bundasliga. Jackson ana nguvu, anajua kudribble na kufanya mikimbia mingi ndani ya box ndio maana anapata nafasi nyingi za kufunga
 
Kwanini mnamtoa kwenye squad yenu?
 
Hakuna club yenye kocha anayejitambua akamchukua takataka jackson.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…