King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,980
- 4,942
Sasa ujui kweli club bingwa ya Dunia imebebwa na naniNyie ambao mpo vizr katikakati mmechukua makombe mangapi msimu uliopita?
Cdm ndio huyo suggestion anaitwa baleba?Cdm kwanza kaka ndio kipa afatie.
January? Mambo yanaendelea sasa hiviSijaona ila kama atasajiliwa basi january top 4 mpaka mwisho wa msimu inatuhusu
Mchezaji mkataba ukiisha na akisainiwa na klabu nyingine, club yake haipati hata mia... Makubaliano yanabaki kati yake na klabu mpya, signing fee yote inakuwa ya kwake. Klabu anayotoka mchezaji itanufaika iwapo watamuuza au kuwe na vipengele kwenye mkataba vinavyoinufaisha klabu endapo mchezaji ataondoka.King faisal Kuna kitu nieleweshe kidogo mkuu..kuhusu hizi signing fees na add ons...
Mfano kama mchezaji timu aliyoko mkataba umeisha na anaitajika na timu nyingine , wakija kumsajili ndio unakuta amesajiliwa kwa labda euro 75 million , hivi zile hela inapewa timu aliyotoka ama anapewa mchezaji, na kama ni timu, mchezaji yeye anapata nini...ukiacha makubaliano binafsi ya mshahara ...
Kwaiyo Adidas wanavyowavalisha sare nyie kwenu ndio wana ubunifu sio?? Hao tangu zamani muundo mmoja wanabadili rangi tuu na saiv wameamua kurudia vya zamani afu wote mnavalishwa ivyo ivyo kasoro rangi adidas saiv jezi zao mtu mnene havai juu panaaa chini tumboni nyembamba upuuzi mtupu bora puma na nike kuliko adidasNike sio wabunifu wazuri kwenye jezi tazama timu zote zinadhaminiwa na Nike wana matambara sio jezi zinazovutia kama puma au adidas. Hii comment nimeitoa kwa huyu kiongozi Irenga
Mkuu felakuti majibu yako nimeyatoa kwa chatgpt maana namie nikua sielewi kiundani kuhusu mikataba na usajili wa wachezaji na hizo adds on.King faisal Kuna kitu nieleweshe kidogo mkuu..kuhusu hizi signing fees na add ons...
Mfano kama mchezaji timu aliyoko mkataba umeisha na anaitajika na timu nyingine , wakija kumsajili ndio unakuta amesajiliwa kwa labda euro 75 million , hivi zile hela inapewa timu aliyotoka ama anapewa mchezaji, na kama ni timu, mchezaji yeye anapata nini...ukiacha makubaliano binafsi ya mshahara ...
Ukweli unauma Nike wanajezi mbaya bora hata Puma.Kwaiyo Adidas wanavyowavalisha sare nyie kwenu ndio wana ubunifu sio?? Hao tangu zamani muundo mmoja wanabadili rangi tuu na saiv wameamua kurudia vya zamani afu wote mnavalishwa ivyo ivyo kasoro rangi adidas saiv jezi zao mtu mnene havai juu panaaa chini tumboni nyembamba upuuzi mtupu bora puma na nike kuliko adidas
Shukran mkuu kwa ufafanuzi...dah mbape alichukua pesa mingi...Mchezaji mkataba ukiisha na akisainiwa na klabu nyingine, club yake haipati hata mia... Makubaliano yanabaki kati yake na klabu mpya, signing fee yote inakuwa ya kwake. Klabu anayotoka mchezaji itanufaika iwapo watamuuza au kuwe na vipengele kwenye mkataba vinavyoinufaisha klabu endapo mchezaji ataondoka.
Refer; Mbappé, mzigo wote kutoka Madrid alikula yeye.
Kwaio mfano hapa mkuu hii pesa imeenda Leipzig..? Yote ...
Shukran Kwa ufafanuzi mujarab...Mkuu felakuti majibu yako nimeyatoa kwa chatgpt maana namie nikua sielewi kiundani kuhusu mikataba na usajili wa wachezaji na hizo adds on.
Chatgpt anasema 👇👇👇👇
[07/08, 01:27] Chat GPT: Swali zuri sana rafiki yangu — na lina utata kidogo kwa watu wengi. Hebu nikufafanulie kwa urahisi:
1. Mchezaji ambaye mkataba wake umeisha (Free Agent)
- Mchezaji anaweza kupewa “signing fee” kubwa (kama fidia) na timu mpya — hii ni pesa ya kumshawishi asaini bila klabu kulipa transfer fee.
- Hakuna ada ya uhamisho (transfer fee) inayolipwa kwa klabu aliyotoka, kwa sababu mchezaji si mali yao tena kisheria.
- Lakini:
- Mfano: Kylian Mbappé alipokuwa anaenda Real Madrid bure, alipewa signing bonus ya mamilioni.
2. Mchezaji bado yupo chini ya mkataba
- Mshahara mpya (mara nyingi mkubwa zaidi),
- Klabu mpya hulipa “transfer fee” kwa klabu ya zamani (hiyo ndiyo unayoona kama "€75 million").
- Hiyo pesa yote huenda kwa klabu ya zamani, si kwa mchezaji.
- Mchezaji mwenyewe hupata:
- Signing bonus (malipo ya kusaini mkataba mpya),
- Add-ons binafsi kama bonuses kwa kufunga mabao, kushinda mataji, nk.
3. Add-ons (kwa upande wa klabu)
- Hizi ni malipo ya ziada ambayo klabu mpya hulipa kwa klabu ya zamani ikiwa masharti fulani yatatimia:
- Mfano: €5M zaidi kama mchezaji atafunga magoli 20,
- Au kama timu mpya itashinda Champions League akiwa kwenye kikosi.
Kwa hiyo, kwa mfano wako:
- Ile €75M huenda kwa klabu ya zamani,
[07/08, 01:27] Chat GPT: - Mchezaji hupewa mshahara, signing bonus, na bonuses nyingine binafsi.
Umeelewa sasa au kuna sehemu nikufafanulie zaidi?