King faisal
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,980
- 4,942
Ndio hapo mkuu ngoja tuone but am 100 percent sure kwamba sesko tunae.Dah mlolongo wote huu aise tunapitia magumu kweli kweli 😀🍺 Sasa familia ikisema nenda Newcastle itakuaje
Chance ya sesko kuja unyumbuni ni 35%Tulia wew kama kudus alikataa kwenda Newcastle ndio ujue hakuna mchezaji anayejitambua atakubali kwenda Newcastle. Anthony elanga ni kwa sababu alikosa timu kubwa zaidi ya Newcastle zinazomtaka ila zingekuepo wala asingekwenda Newcastle
kaka umeamua kuwa mpiga ramli siku hizi!? Isak ni mali yetu ni suala la muda tuKama mshabiki wa Chelsea binafsi napenda sesko aje kwenu man u ili Liverpool hamkose isak
No ni kikundi cha madalaliHii ni timu kweli?
walisikika Chelkenge kuwaambia nyumbu "nyie mchukueni Sesko ili Newcastle wakaze kwa Isak, isije liverpool wakatupa tabu"Sesko kawakataa huko nyie manyumbu
Bila Newcastle kumpata sesko hamuwezi kuuziwa Isak Newcastle ni tofauti na hizo team nyingine zenye njaakaka umeamua kuwa mpiga ramli siku hizi!? Isak ni mali yetu ni suala la muda tu
hivi unadhani ile £ 150m hatuwezi kuifikia, still PSR kwa upande wetu inaturuhusu. hofu ya Newcastle ni kuuziwa Benjamin Sesko kwa bei ya juu sana that' s why wanataka kufinalize deal la Sesko kabla ya kumuuza Isak, unajua ni kwanini? Endapo Watamuuza Isak mapema RB Leipzig watakuwa na Luxury ya price tag since inajulikana Newcastle hawatokuwa tayari kwenda Champions League bila Striker wakueleweka ilhali wamepokea mpunga wa kutosha kwa mauzo ya IsakBila Newcastle kumpata sesko hamuwezi kuuziwa Isak Newcastle ni tofauti na hizo team nyingine zenye njaa
Mkuu Newcastle hawawezi kumuachia isak Kama hawatampata sesko hata kama mtoe pesa kiasi ganihivi unadhani ile £ 150m hatuwezi kuifikia, still PSR kwa upande wetu inaturuhusu. hofu ya Newcastle ni kuuziwa Benjamin Sesko kwa bei ya juu sana that' s why wanataka kufinalize deal la Sesko kabla ya kumuuza Isak, unajua ni kwanini? Endapo Watamuuza Isak mapema RB Leipzig watakuwa na Luxury ya price tag since inajulikana Newcastle hawatokuwa tayari kwenda Champions League bila Striker wakueleweka ilhali wamepokea mpunga wa kutosha kwa mauzo ya Isak
Wapi imesemwa inaelekea kukubaliwa? Fab hajasema, Dan hajasema na Ben Jacobs hajasema pia. Na kubwa zaidi mchezaji mwenyewe anaitaka United - kimsingi agent wa Seśko ni shabiki wa United. Na Leipzig wamekataa hiyo bid ya Newcastle. United walishasema wao watatoa bid rasmi baada ya Newcastle na kama mchezaji anataka kuja United. Hii ndiyo approach United waliitumia kwa Cunha na Mbeumo.GK si huyo tunamtaka kwa mkopo...golikipa wa kimataifa unamtaka kwa mkopo ..haya...striker si ndio huyo sesko tunajivuta kama wenye mabusha Hadi Newcastle wameshatuma ofa na inaelekea kukubaliwa ...
Spot on, mkuu. Huu ndiyo ukweli wa kinachoendelea kwenye saga hiiSizani kama sesko ataenda Newcastle, kumbuka makubaliano na club. Ni tofauti kwenye kukubaliwa na mchezaji. Mwenye presha kubwa sana na mchezaji(sesko) ni Newcastle sababu ya Isak anayetaka kuondoka hivyo Newcastle wanataka striker kwa hali yoyote kabla EPL league haijaanza.
According to Fabrizio romano, ni kwamba Newcastle wamekataa ofa ya pound million 120, iliyopelekwa na Liverpool ili kumchukua isak. Kwahyo hapa utaona hata Liverpool pia wanaomba sesko aende Newcastle hii itasaidia wao kumpata isak. Tukirudi kwa man united ni kutokana na sera yake mpya ya usajili inayotaka mchezaji kuipenda club na hii amelisema hata Flano maana tumeona kwa mbeumo pia alivyowakataa Tottenham.
Ndio maana Manchester united, kupitia kwa director Christopher vivel ambaye alishafanya kazi na leipzig, wanafanya contact na mchezaji sesko pamoja na agent wake. kuhusu malengo ya club n.k na sesko amekubali kuchezea man united hata kama hatupo UEFA champions league. Lakini pia wameshafanya contact na leipzig na wako tayari pia kutoa pesa kwa leipzig. Lakini ambacho hawataki man united ni kuingia kwenye mtego wa Newcastle na leipzig kwa kutoa pesa kubwa kwa sesko.
Ndio maana wanamsubiria sesko ambaye amesema mda c mrefu atamake decisions baada ya kuongea na familia yake kuhusu future yake na club ipi ataenda kuchezea kati ya Newcastle na Manchester united.
Naona hapo IG Ushatia na Vote to MUFC 😄.View attachment 3426459
Sasa ni rasmi, Fabrizio kapost dakika chache zilizopita, na nilikua nasubiria fabrizio athibitishe tu na kafanya ivyo ivyo
Manchester United tunaandaa bid ya Sesko rasmi, na kama mjuavyo, dogo ameshakiri yeye ni UTD die hard fan
Zile assist za bruno, mbeumo, cunha na amad dogo ashindwe yeye tu
Liverpool washasema hawata bid tena kama Newcastle haitokuwa tayari kufanya mazungumzo. Sasa wewe ni nani useme hayo?hivi unadhani ile £ 150m hatuwezi kuifikia, still PSR kwa upande wetu inaturuhusu. hofu ya Newcastle ni kuuziwa Benjamin Sesko kwa bei ya juu sana that' s why wanataka kufinalize deal la Sesko kabla ya kumuuza Isak, unajua ni kwanini? Endapo Watamuuza Isak mapema RB Leipzig watakuwa na Luxury ya price tag since inajulikana Newcastle hawatokuwa tayari kwenda Champions League bila Striker wakueleweka ilhali wamepokea mpunga wa kutosha kwa mauzo ya Isak
unahakika au unaleta story za kwenye free Wi-FiLiverpool washasema hawata bid tena kama Newcastle haitokuwa tayari kufanya mazungumzo. Sasa wewe ni nani useme hayo?
walisikika Chelkenge kuwaambia nyumbu "nyie mchukueni Sesko ili Newcastle wakaze kwa Isak, isije liverpool wakatupa tabu"
Chelkenge ni mahodari wa biashara haramu, eti watoe hela na Nkunku halafu Barcelona wamtoe Fermin LopezChelkenge wanatamani Sesko aende Newcastle ili watupige tena kwa Michael Jackson.
Yaani hawa Kenge wanajua kabisa pesa zao za burebure wanazipatia kwa Arsenyani, Unyumbuni na Uarabuni. View attachment 3429500
Naona tumetuma ofa ya pauni 61 million Kwa huyu fermin Lopez...aaa kocha achukue baleba kwanza kama kweli ni kiungo anataka.Chelkenge ni mahodari wa biashara haramu, eti watoe hela na Nkunku halafu Barcelona wamtoe Fermin Lopez
Sisi ndio tunataka sesko aje kwenu ili Newcastle wasimuuze isak kwenda Liverpool kwasababu huyo sesko ni striker wa kawaida sana anazidiwa na hata JacksonChelkenge wanatamani Sesko aende Newcastle ili watupige tena kwa Michael Jackson.
Yaani hawa Kenge wanajua kabisa pesa zao za burebure wanazipatia kwa Arsenyani, Unyumbuni na Uarabuni. View attachment 3429500