Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Baleba Yuko sawa lakini naona kocha anamtaka hojlmund wa sporting Lisbon, pia baleba wale Brighton kwenye biashara Wana bei za juu tusubrie...sesko ndio amebakia sokoni naona anafaa huwezi mlinganisha na hojlund...
Sesko lazma aje hili sikatai ila kwa cdm baleba ni moto ngoja tuone Ruben na uongozi watafanya niny? Kuhusu CDM.
 
Hapa jezi kali ni mbili tu ya man united na real Madrid full stop. Adidas na Puma wamejitahidi, mie naona aliyezingua sana ni kampuni ya NiKE ebu cheki jezi za chelwowo.
Nyie kweli nyumbu, naona mnatafuta namna ya kujipatia furaha mpk kwnye jezi. Nyie kuteseka kupo pale pale mpk mseme kwann mlikua mnamlipa Howard Webb afanye dhulma.
 
Nyie inamaana hamuoni shida yangu?nahitaji official email ya bruno fernandes
 


Eti unampiga Bournemouth nne kwenye preseason unaiita Un-fourgettable experience πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€. Je ukimpiga Madrid 3-0 kwenye robofainali ya Champions League utasemaje? πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€.

Standards...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…