Ukitaka kujua Erik Kichwa ngumu ni tapeli wale wachezaji aliowanunua akiwa unyumbuni wapo sokoni tena kwa bei cheap kuliko alivyowapiga nyumbu ila kuwanunua akafe nao Leverkusen hataki.

Kocha wao ameamua kuwapa nafasi watu wa nyumbani na watu anaowapa nafasi wanapiga kazi kwelikweli ukianza na kipa wao Patricio, Neves, Moutinho, Neto na Jota ambaye yuko mbioni kukimbilia kwa majogoo wa jiji la Liverpool.
Mason Mount alipiga pasi ya goal kwa Kai Harvetz Chelsea wakabeba UEFA. Wazee tuongezeeni angalau pesa kidogo kwa Mount, mashine ya pasi. Acheni ubahili basi.
Naskia eti mnataka tena kutuuzia Nkunku?
Yaani mnataka mfanye swap ya Nkunku kwa Garnacho + Β£30m juu tuwape.
Hivi kwani Utd na Arsenyau nyie kenge mnatuchukuliaje?
Kuweni na huruma basi, wodi zote pale matofali ya kuchoma zimejaa halafu mnataka mmtuongezee maharamia mengine ya kuyatibu.